Kumbe mikataba ya wachina iliyosainiwa juzi ...................

Michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
662
Reaction score
651
Nimekutana na falsa yao moja iliyonishawishi KUAMINI kuwa mikataba iliyosainiwa juzi HAPA TANZANIA ni katika kuitekeleza hiyo falsa yao. Inasema hivi,...................................invest in the success of others, because when you help someone up a mountain,you'll find yourself close to the summit too.................. JE,TANZANIA (AFRIKA) FALSA ZETU TUNAZITEKELEZA KWELI,AU ZINABAKI KWENYE MAANDISHI TU,NAKUSUBILI MSAADA TOKA NJE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…