Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Ha ha ha ha chezeiya mambo ya maloveee nini wewe kwake ni baby mama malaika wake, usingizi wake, si mchezo.

Yani huyo dada kupiga mechi inabidi uweke filling kua uko n dem mkare plus ndimu n pilipili nyingi kukata shombo
 
Haya basi kila la kheri ila ile sura ya Lotus....
Mhhhhh Mungu anisamehe tu.

Dah kweli hata mimi MUNGU anisamehe tu.Kwa kweli sura yake,style ya mavazi yake na hivyo vidani alivyojitoboa ni changamoto sana.
Ni libaya mpaka basi sema ndo hivyo Mkatoliki humwambii kitu.
 
dah, hapa zambi umeichukua

Dhambi gani hivi ulisha wahi kuona viduku anavo nyoa na rangi za nywele huwa hazimpendezi kusema sio dhambi abadilike, mbona hata Kelly Osbourne alikua anavaa ka salama, akashauriwa akaanza kuvaa vizuri kidada na akapendeza.
 
Yani huyo dada kupiga mechi inabidi uweke filling kua uko n dem mkare plus ndimu n pilipili nyingi kukata shombo



Ila hapa mtoto katoka bomba, she is so sexxxyyy kitovuni pale mi hoi, Roma anafaidi...!!!
 
Kwahiyo Roma kamtosa Mama Ivan? Kweli wasanii ni vioo vya jamii.
 
Ha ha ha mimi napendaga zile nywele zake akizifuga nzuriiii.Huo mwanya ni shiidah mazee.
Halafu eti naye ni fashionista sijawahi kumuona akivaa nguo ya maana zaidi ya yale matambala yake sijui ananunuaga mtumbani hata sielewi!

Ndio fashenista wetu uyo kwenye Nirvana .ila mmmh..Roma n shidaaa ama kweli Kila Shetani na Mbuyu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…