Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha mimi napendaga zile nywele zake akizifuga nzuriiii.Huo mwanya ni shiidah mazee.
Halafu eti naye ni fashionista sijawahi kumuona akivaa nguo ya maana zaidi ya yale matambala yake sijui ananunuaga mtumbani hata sielewi!
mademu wa jf sura kama wanapuliza moto
ila kwa kuponda wenzao namba moja!!
Duuuh roma anaroho ngumu huyo dem sura kma kavuta ugoro
Kama watu wa Amazon far east America......:glasses-nerdy:Haya basi kila la kheri ila ile sura ya Lotus....
Mhhhhh Mungu anisamehe tu.
Haya basi kila la kheri ila ile sura ya Lotus....
Mhhhhh Mungu anisamehe tu.
Haya basi kila la kheri ila ile sura ya Lotus....
Mhhhhh Mungu anisamehe tu.
Ila we nifah una balaa wakati mwenzio ndo mbeby wa ukwe kule kwenye tv
Na hilo li kipini analovaaga kwenye pua khaaa
Basi shouger yako hzo tambara kwake ndo fashion yenyew hyo tehtehhh
Ushawahi kuwaona mademu wa jf?