Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Ha ha ha mimi napendaga zile nywele zake akizifuga nzuriiii.Huo mwanya ni shiidah mazee.
Halafu eti naye ni fashionista sijawahi kumuona akivaa nguo ya maana zaidi ya yale matambala yake sijui ananunuaga mtumbani hata sielewi!

Basi shouger yako hzo tambara kwake ndo fashion yenyew hyo tehtehhh
 
Huyu dem mbona yupo barida tu..
Hayupo kwenye usista duu sana Wala ugumu sana ..
Nawapenda madem wa design hii ..!
 
Huyo roma nae alikosa wanawake wa kuwazalisha mxiuuuuu
 
Kapendeza na mimba yake Lotus ila asije mvisha kijacho hzo swaga zake
 
Mapenzi upofu mwenzetu Mkatoliki ana macho ya bandia! haaaaa! au ndio kila F.A.LA. na F.A.L.A. wake.
 
Back
Top Bottom