ha ha ha mimi napendaga zile nywele zake akizifuga nzuriiii.huo mwanya ni shiidah mazee.
Halafu eti naye ni fashionista sijawahi kumuona akivaa nguo ya maana zaidi ya yale matambala yake sijui ananunuaga mtumbani hata sielewi!
yaleo sijaiona shoga nilikua naangalia series baada ya star tv kukatisha ile tamthilia ya legal wife sina hamu na tv station yoyote.
Ivi imesharudi au bado tu?
Ninjaa.. Mbona NanciE yuko bomba, kuliko huyu mdada Lotus? Aaaaaaggggggrrr yaani unaacha kiepe unafakamia Makande...
kama sio mmasai basi mmakonde, hivi yule mwenzake bhoke aliyegawa uroda bba amepotelea wapi?
Haya basi kila la kheri ila ile sura ya Lotus....
Mhhhhh Mungu anisamehe tu.
yaani hawa mbwa star tv wanakera sijui wakoje ndo zao kukatisha tamhilia
yaani hawa mbwa star tv wanakera sijui wakoje ndo zao kukatisha tamhilia
.. Roho ikipenda ni matatizo kwani hata chongo utaona kengeza...
Unatakiwa kujua kuwa sura nzuri si tafsiri pekee ya mwanamke mzuri kwa mwanaume!
Huo ndio ukweli.Ila angeacha huo uchizi wake na akajiweka kama msichana ingekua afadhali ukizingatia ana weusi mzuri na fashion anazijua.
I see.Ila uzuri wa kitu upo machoni mwa apendae pia.
Yaan yeye kutokujua kuvaa na hiyo style ya nywele vinamfanya anazidi kua mbaya,lakin ana rangi nzuri ,umbo nzuri tu,,sasa sijui nani humpodoa jamanii hua nacheka,,,mwingine sauda mwilima mpaka hua napaliwaaaa
Namuombea mungu akijifungua mtoto wa kike afanane na baba yake...
Lotus ni mbaya jamanii sijui nyege alizipatajeee loo halaf kinachomuongozea azid kuwa mbaya ni style ya nywele ,anavyovaa sijawahi kumuona hata siku moja kapendeza jamanii
Huyu lotus hana asili ya Kenya kweli Waarusha wazuri mno aache zake huyo.