Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

ha ha ha mimi napendaga zile nywele zake akizifuga nzuriiii.huo mwanya ni shiidah mazee.
Halafu eti naye ni fashionista sijawahi kumuona akivaa nguo ya maana zaidi ya yale matambala yake sijui ananunuaga mtumbani hata sielewi!

duuuhhhhh!!!
 
Lotus sio mmasai kuna siku alisema kabila lake.
Ila mama yake ni Mnyakyusa kama sikosei la baba ndio nimesahau.

kama sio mmasai basi mmakonde, hivi yule mwenzake bhoke aliyegawa uroda bba amepotelea wapi?
 
yaleo sijaiona shoga nilikua naangalia series baada ya star tv kukatisha ile tamthilia ya legal wife sina hamu na tv station yoyote.
Ivi imesharudi au bado tu?

yaani hawa mbwa star tv wanakera sijui wakoje ndo zao kukatisha tamhilia
 
Ninjaa.. Mbona NanciE yuko bomba, kuliko huyu mdada Lotus? Aaaaaaggggggrrr yaani unaacha kiepe unafakamia Makande...

Unatakiwa kujua kuwa sura nzuri si tafsiri pekee ya mwanamke mzuri kwa mwanaume!
 
yaani hawa mbwa star tv wanakera sijui wakoje ndo zao kukatisha tamhilia

Shoga ikirudi unishtue jamani siangaliagi tena tv stations maana nilikasirika balaa ilivyokua imenoga sasa?
 
Huo ndio ukweli.Ila angeacha huo uchizi wake na akajiweka kama msichana ingekua afadhali ukizingatia ana weusi mzuri na fashion anazijua.

Yaan yeye kutokujua kuvaa na hiyo style ya nywele vinamfanya anazidi kua mbaya,lakin ana rangi nzuri ,umbo nzuri tu,,sasa sijui nani humpodoa jamanii hua nacheka,,,mwingine sauda mwilima mpaka hua napaliwaaaa
 
Hahhahahahaa bora angekua anatangaza kipindi kingine tofauti na mambo hayo ya fashion hata nisingejali sana.
 
Mmh jaman y kamfanyia hvyo nancie mmh wanaume hawa shida tupu
 
Back
Top Bottom