Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Jamani Lotus MBAYAAAAAAAA.....hv sisi wanaume wengine HUWA HAWAONI au....!!!?

Huyu ni wa kuongea nae hata kidogo tu...!!? Hata kuongea nae SIFIKIRIII...ptuuuuuhh...!!! Yaani hapo ndio ka smile....!!? Hata kupoteza muda tu kuongea nae chohote sipotezi, nasepa, unakuta MWANAUME ANAMDINDISHIA HUYU...!!? 😷😷😷😷
 
kuna mtu alishasema wana jukwaa hili wana asili ya wivu mbaya kwani kajiumba embu acheni upuuzi boy Roma kakolea ndio mada huwezi jua kampendea nini....................Muwe na adabu hata ya kuvalia chupi kwa mapenzi ya watu wenyewe wamependana nyie inawahusu nini hovyoooooo ikiwauma zaidi kasikilizeni wimbo wa dudu baya "nakupenda tu" assssse.
 
Narudia tena Lotus sio mbaya kihivo kama watu wanavyocomment hapa, ila the way anavyojiweka ndo anafanya achukize, kuweka lipini puani kama maksai ndo nini? Minywele yenye mirangi ya ajabu ndo nini? Au ndo fashoni?
 
Bado shost ake Deo..Kama ni Roma kweli,achangamke na upande mwngne ule
 
yan kuna watu wengne bhana...ni kama hamjui mzur kwako ni mbaya kwa mwenzio,kwa hyo hata ww unayedanganyw na hicho kioo chako kwamba ni mzuri usijidanganye na kudhan kwamba wootee wanakuona ww ni mzuri kihivyo,msipende kukufuru binadamu msiowaumba!!
 
Huyo Lotus Pua kama Ng'ombr aliyevalishwa chuma puani ili asile mazao wakati wa kulima!

Hakuna Ugumu, wala uhiphapu wajameni linapokuja juu ya kale kamchezo, nasikia hata fidQ hutoa mlio wa hatari akiwa kabanwa na Lotus wake!
 
Fid Q tena?
 
Km unawajua hao wadada..means lotus na rafiki zake...utajua jamaa kamaanisha..
 
Back
Top Bottom