Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namuonea huruma mke wa Katunzi... Mmewe kuandikwa mitandaoni kwamba kampachika mimba mtu mwingine.
Teh teh teh! Mtani bwana.Ivi kwanini mimba ya mama yenu ikitajwa mnakasirishwa na kughafirika sana....je ni kweli alilala na Katunzi pale double tree?
Umbeya huu...
Ila mtani nilikumis sijui uliendaga wapi!!ok karibu mtani jamvini,
Ile sio ya katunz ni ya chibu
Mkuu umetisha!!!khaaa!asiyekuelewa kwa haya uliyosema basi hawakuelewi tena!.
Nyie mnadhani hata kama hiyo mimba sio yake atasema? Hiyo inaitwa KUFA KIUME!
Kwahiyo wambea tutasubiri sana...
Sasa mtani mumfiche mtoto wakati kutwa kupost process nzima za ukuaji na urutubishwaji wake!
Zarina alipost mtumbo wake kwani ilikua inatuhuuu... Msifanye ivo.Ila nasikia Muzamir katunzi ana damu kareee mwombe Mungu isiwe kweli.
Hahaha hahahaha.. Mutoto ya taifa aaaw...
Wale watoto wengine naona wapo kwenye academy manchester, mwingine hata sielewi labda south kwa baba yake.
Ila Zarina kiboko sio kujichokonoa kule na dildo je angeharibu kizazi je?
Huu ubuyu hauna ladha binamu... Marudio tuuuu
Hahaha mwanamke una mambo wewe!
Una uhakika diamond ndo kamtia mimba?
Nyie mnadhani hata kama hiyo mimba sio yake atasema? Hiyo inaitwa KUFA KIUME!
Kwahiyo wambea tutasubiri sana...
mkuu chibu alimkuta shemeji ana kitumbo tayari sema kwa kuwa alikua anataka kiki ndio ikabidi akomae.
ahahahahahahahahahahahahaaa!!!
Mmeshaanza migazeti yenu, naomba unifupishie, nimeshindwa kusoma.
Ngoja dogo azaliwe,afikishe mwaka ndio utaamini kama wa chibu au sio