Luteni Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 337
- 312
daah.! Sasa naelewa kwanini chama kaamua kurudi ligi ya bongo hahahah wale watu co powa unaweza jikuta unasugua benchi ilihali huku uhakika wa kupata namba upo.Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
View attachment 2059399