Luteni Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 337
- 312
daah.! Sasa naelewa kwanini chama kaamua kurudi ligi ya bongo hahahah wale watu co powa unaweza jikuta unasugua benchi ilihali huku uhakika wa kupata namba upo.Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
View attachment 2059399
Nakumbuka ile mechi ya Simba na A.S Vita, kule Congo, alifanya kazi kubwa ya kumzuia Djuma ambaye kwa sasa yupo Yanga. Shabalala alimshindwa kabisa
Pia, tukumbuke, pale MANUTD, Valencia na Ashley Young walibadilishwa, badala ya ushambuliaji, wakawa walinzi.
Hata Kibabage mechi ya KMC na Simba alicheza namba 3, lakini kwa asili ni winga namba 11.Umeniwahi mkuu, nilikua nataka niandike kitu hiki hiki.
Hafuatilii. Kocha wa Al alhly ni Mwafrika Kusini, na anamfahamu vizuri Luis kwani walishakuwa naye kwenye ligi ya Afrika Kusini. Na itakuwa kocha ndiye alimpendekeza Luis asajiliwe Al ahly.
Sasa kama ni hivyo ilibidi awe wing back na siyo central back, unless kama kocha alihitaji mchezaji mwenye speed kucover gape la CB.
Hafuatilii. Kocha wa Al alhly ni Mwafrika Kusini, na anamfahamu vizuri Luis kwani walishakuwa naye kwenye ligi ya Afrika Kusini. Na itakuwa kocha ndiye alimpendekeza Luis asajiliwe Al ahly.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mashabiki wa Al ahly awaoni umuhimu wa Merquisone ila kocha ndo anamkumbatia.Waarabu hawamtaki wanadai kiwango chake ni kidogo
Hata huko beki anachezeshwa game ndogo ndogo, muda mwingi anaishia jukwaaniHii yote kasababisha mudi na tamaa zake
Maskini mmakonde wa watu anachezeshwa beki dah
Waarabu wabaguzi?Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
View attachment 2059399
Tatizo mnakaririshwa na hao kaka zenu(madogo),kuna kiumbe kama Nonda Shaban Papii aliyetesa Ulaya?kwa taarifa yako alitokea Jangwani😂😂Watu wanachukulia vitu simple sana kwani utopolo mshawahi kutoa mchezaji gani wa maana nje ya nchi,
al ahly ni kama unavyoona real Madrid au bayern Munich huwezi kwenda tu ukapata namba kirahisi.