Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,277 Reaction score 8,860 Apr 1, 2014 #1 Jay Z & Big Daddy Kane watu wanatoka mbali sana leo jay z ni mmoja ya wasanii wa hiphop ambao ni matajiri wakubwa.
Jay Z & Big Daddy Kane watu wanatoka mbali sana leo jay z ni mmoja ya wasanii wa hiphop ambao ni matajiri wakubwa.
qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,380 Apr 1, 2014 #2 hahaahhhahha hiyo view utadhani bills kujmbe ni majuu
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Apr 1, 2014 #3 Nilidhani mjomba mpoto
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Apr 2, 2014 #4 kalagabaho said: Nilidhani mjomba mpoto Click to expand... Hata mi piaaaa
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Apr 2, 2014 #6 Maisha mzunguko