Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mwenyewe chief alikiri kumpa gari hyo diamond kama zawadi(akutaka kufafanua zaid I zawadi kwa ajili gani) na vilele aligoma kutaja thamani ya hiyo gari na kusisitiza tu ieleweke amempa diamond kama zawadi, kwa maana ni mali ya diamond kwa sasa

mkuu warumi
hiyo inaitwa kulindiana heshima...hivi kama mi na wewe tumeshibana naweza kukuazima gari then nikasema nimekuazima hadharani?....
kiuna aishu nzito nyuma ya pazia utasikia mengi kama ulivyopata kusikia watu waliojitapa kumiliki magari makali wakaishia kunyang'anya na wenye nayo............
Nimeshtuka kidogo, mmh sasa apo nimeanza kukuelewa kiutu uzima, huyu chief kumbe sio mtu mzuri kabisa...
Chief kiumbe siyo mtu mzuri sana na makalio ya vijana...kwa level ya diamond hatakiwi kumfanya rafiki huyu jamaa
Bado mimi tuuuu kupewa zawadi hakyanani....
kwaheri mkuu.............Kwa hiyo diamond aliona wema anafaidi kuendesha Audi q7?, bora angepewa na demu, sasa zile tetes za yeye na riz naanza kuzifikiria upya
Chief kiumbe siyo mtu mzuri sana na makalio ya vijana...kwa level ya diamond hatakiwi kumfanya rafiki huyu jamaa
Kama wewe siyo mnywaji wa kinondoni, sinza na kijitonyama mambo haya hutokaa uyajuwe.
Chief kiumbe Big Boss ndio boss wa Ally Choki, q chila, dogo janja na wengineo, huyu ni muzee wa Musoma huku akiendesha biashara zake mombasa kenya.
Ila swala la Diamond kupewa gari mnashangaa bure kwani hata Ridhiwani Kikwete alishasema si kila gari mnayomuona nayo ni ya kwake ila hapa tunaishi kimjinimjini.
Ile nyumba ys million 400 ya Wema Sepetu imeishia wapi?
Unataka kusema nini kaka?? Kwa level ya diamond kama anafanya uo mchezo anapenda tu sio kwa kigezo cha pesa maana anazo