Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Utajiri wa Diamond unaanza kuingia utata
Utajiri wa Diamond unaanza kuingia utata
Nilisikiaga na hiyo mikataba minono anayopataga pamoja na show za nje kuna strong people behind, diamond kweli alikiba ana Haki ya kumchukia ndomo, kam over take..
Kamdatisha na uchezaji wake wa ngololo, kaona sio ishu, anaonekana ni shabiki wa kweli wa diamond..
Inawezekana wewe ndio unachanganya, huyu Chief kiumbe usanii wake alianza naJuma Banatozi ambaye aliuwawa Front Morogoro kwenye tukio la ujambazi.
Inawezekana wewe ndio unachanganya, huyu Chief kiumbe usanii wake alianza naJuma Banatozi ambaye aliuwawa Front Morogoro kwenye tukio la ujambazi.
huyu chief kiumbe ni kama kaambiwa na mganga wake akigonga ngozi mwanamuziki wa kiume basi pesa zake zinaongezeka....huwa simuelewi kabisa!anatumia pesa nyingi kushawishi vijana waingie mtegoni!....binafsi nna mwanangu wa karibu sana huyu ---- kiumbe alitaka ajiongeze!
True mkuu huyu jamaa inasemekana kaishapita na q chillah, matonya, hemed phd na wengine wa caliber hii.
True mkuu huyu jamaa inasemekana kaishapita na q chillah, matonya, hemed phd na wengine wa caliber hii.
alishamgegeda mbonie masimba, mboni akajinunulisha gauni la harusi ili aolewe naye, weeeeeee thubutu, chief almwagajeeeeee?? ana wake watatu sijui wanne!! ni balaaaa