Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Kwa wachezaji wa Draft la playok, Tunajua mabingwa wa kule ni ashkelon, Davidmbeya, kongomsumari, na mohammed19997, ila cha ajabu wote hao walishapigwa na mkulima wakaishia kumuita mkulima ni software 😅😂
Nimeangalia statistics za mkulima kule playok
Ashkelon alipigwa 2 bila na mkulima
Mohamed1997 alipigwa 3-1 na mkulima
Davidmbeya alipigwa 7-1 na mkulima
Kongomsumari alipigwa 1-0 na mkulima
Wachezaji hao juu waliopigwa na Mkulima nina imani wanajua copy zote za draft, pasati, mabano mixer, samba, pandu, tege, Kavimba, Jinsi ya kuzichezea na jinsi ya kutoa sare au kushinda wakichezewa Hovyo sasa kwenye draft Hawa mabingwa wanazidiwa wapi hadi wote wanapigwa na mtu mmoja?