Kati ya vitu vilivyonishangaza ni kuwekwa wazi kwa akiba hiyo kiduchu ya fedha za kigeni.Nimemsikia Rais Magufuli akisema serikali Ina akiba ya Dola za Kimarekani Bilioni 5 zinazoweza kuendesha nchi Kwa takriban miezi sita huku mfanyabiashara MO Dewji akimiliki utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2 kwa mujibu wa Jariba la Forbes ambao ni karibia nusu ya akiba iliyo nayo serikali!
My take : Wafanyabiashara siyo wa kubezwa maana wameshikilia sehemu kubwa ya uchumi wa nchi ,pia viongozi wetu wawe Na hekma siyo kila data ya kuweka hadharani huenda zikatumiwa vibaya Na maadui.
mo hana pesa mwenye pesa ni baba yake mzee gulam mzee gulamabbas ndio mwenye metl na yeye aliiinherit kutoka kwa baba yake mohamed dewji sr ambaye ni babu yake na mohamed dewji jr dewji hana pesa yoyote kila kitu ni cha baba yake sema yeye ndio mtoto mkubwa wa kiume afu mzee wake he is getting oldNimemsikia Rais Magufuli akisema serikali Ina akiba ya Dola za Kimarekani Bilioni 5 zinazoweza kuendesha nchi Kwa takriban miezi sita huku mfanyabiashara MO Dewji akimiliki utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2 kwa mujibu wa Jariba la Forbes ambao ni karibia nusu ya akiba iliyo nayo serikali!
My take : Wafanyabiashara siyo wa kubezwa maana wameshikilia sehemu kubwa ya uchumi wa nchi ,pia viongozi wetu wawe Na hekma siyo kila data ya kuweka hadharani huenda zikatumiwa vibaya Na maadui.
Una sh ngapi kwenye m-pesa tuanzie hapomo hana pesa mwenye pesa ni baba yake mzee gulam mzee gulamabbas ndio mwenye metl na yeye aliiinherit kutoka kwa baba yake mohamed dewji sr ambaye ni babu yake na mohamed dewji jr dewji hana pesa yoyote kila kitu ni cha baba yake sema yeye ndio mtoto mkubwa wa kiume afu mzee wake he is getting old
Unajua kuwa TRA wanakusanya 1.2t kila mwezi? Hizo ni kama $0.5b.Nimemsikia Rais Magufuli akisema serikali Ina akiba ya Dola za Kimarekani Bilioni 5 zinazoweza kuendesha nchi Kwa takriban miezi sita huku mfanyabiashara MO Dewji akimiliki utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2 kwa mujibu wa Jariba la Forbes ambao ni karibia nusu ya akiba iliyo nayo serikali!
My take : Wafanyabiashara siyo wa kubezwa maana wameshikilia sehemu kubwa ya uchumi wa nchi ,pia viongozi wetu wawe Na hekma siyo kila data ya kuweka hadharani huenda zikatumiwa vibaya Na maadui.
afu nikusaidie nchi ya kama tanzania haiwezi kuwa na hazna ndigohivyo brother ongea kama msom kakaUna sh ngapi kwenye m-pesa tuanzie hapo
afu nikusaidie nchi ya kama tanzania haiwezi kuwa na hazna ndigohivyo brother ongea kama msom kaka
kingine dewji ile netwoth sio pesa kumbuka bakhresa group ndio watu wenye pesa nyingi hapa Tanzania wana networth ya 10 billions usd na hizo ni za tra tuu yaani zilizoonekana so unataka kuniambia tanzania nchi ya kumi na mbili kwa utajiri africa(GDP KUBWA) iwe na 5 billions usd you cant be serious man
angalia link hio may be utanielewa kaka
https://answersafrica.com/richest-countries-in-africa.html
Kuna sehemu umeona tumetaka kujua matumizi? Tuliza mihemko dogoWatu wasiojua uchumi wanaongelea uchumi. Ni kama kikao cha vipofu wakimuingelea tembo ambaye hawajawahi kumuona.
Hizo $5b ni cash reserve kwaajili ya kununua bidhaa nje ya nchi.
Vijama muwe mnauliza badala ya kukurupuka. Mnatuaibisha watanzania.
Kwake yeye anaona nyingi.. Maskini akipataKati ya vitu vilivyonishangaza ni kuwekwa wazi kwa akiba hiyo kiduchu ya fedha za kigeni.
Sasa huyo gulam ni baba yako .. Wivu utakuuamo hana pesa mwenye pesa ni baba yake mzee gulam mzee gulamabbas ndio mwenye metl na yeye aliiinherit kutoka kwa baba yake mohamed dewji sr ambaye ni babu yake na mohamed dewji jr dewji hana pesa yoyote kila kitu ni cha baba yake sema yeye ndio mtoto mkubwa wa kiume afu mzee wake he is getting old
Unajua utofauti wa akiba na utajiri?Nimemsikia Rais Magufuli akisema serikali Ina akiba ya Dola za Kimarekani Bilioni 5 zinazoweza kuendesha nchi Kwa takriban miezi sita huku mfanyabiashara MO Dewji akimiliki utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2 kwa mujibu wa Jariba la Forbes ambao ni karibia nusu ya akiba iliyo nayo serikali!
My take : Wafanyabiashara siyo wa kubezwa maana wameshikilia sehemu kubwa ya uchumi wa nchi ,pia viongozi wetu wawe Na hekma siyo kila data ya kuweka hadharani huenda zikatumiwa vibaya Na maadui.