chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Nimemsikia Rais Magufuli akisema serikali Ina akiba ya Dola za Kimarekani Bilioni 5 zinazoweza kuendesha nchi Kwa takriban miezi sita huku mfanyabiashara MO Dewji akimiliki utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2 kwa mujibu wa Jariba la Forbes ambao ni karibia nusu ya akiba iliyo nayo serikali!
My take : Wafanyabiashara siyo wa kubezwa maana wameshikilia sehemu kubwa ya uchumi wa nchi ,pia viongozi wetu wawe Na hekma siyo kila data ya kuweka hadharani huenda zikatumiwa vibaya Na maadui.
My take : Wafanyabiashara siyo wa kubezwa maana wameshikilia sehemu kubwa ya uchumi wa nchi ,pia viongozi wetu wawe Na hekma siyo kila data ya kuweka hadharani huenda zikatumiwa vibaya Na maadui.