Kumbe mpenzi mpya wa Harmonize aliwahi kuolewa na mmasai

Wanawake na wanaume 7 Kati ya 10 wameisha aliwahi olewa au kuoa.

Maana Kama, umekuwa na mahusiasno na msichana au mwanaume Kwa miezi zaidi ya 6.

Kwa hiyo wote ni sawa tu.
 
Shida iko wapi?! Wamwache Dogo ajilie vyake. Life Is too short jamani
 
Ukimkuta binti wa kizungu mombasa,malindi,znz haswa kiwengwa huko. West africa Gabon, Togo ujue ana fuata mihogo ya waafrika. Kuna kitu very common among white girls Sex tourism. Mombasa kuna gaming massage hotspots za mambo hayo kabisa mpaka kwenye internet zinaelezewa.

Harmonize mwache atumie fursa kabla maji hayajapoa.
 
Mkuu umetaja kiwengwa umenikumbusha mbali sn jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…