Kumbe mpenzi mpya wa Harmonize aliwahi kuolewa na mmasai

Kumbe mpenzi mpya wa Harmonize aliwahi kuolewa na mmasai

Kwani mmasai sio mtu? Mbona hammwambii mzungu kuwa Hamo alikuwa na mahusiano na wolper?! kama ilikuwa wakutane bikra!
 
Ukimkuta binti wa kizungu mombasa,malindi,znz haswa kiwengwa huko. West africa Gabon, Togo ujue ana fuata mihogo ya waafrika. Kuna kitu very common among white girls Sex tourism. Mombasa kuna gaming massage hotspots za mambo hayo kabisa mpaka kwenye internet zinaelezewa.

Harmonize mwache atumie fursa kabla maji hayajapoa.
Kabisa Mkuu.
 
Back
Top Bottom