Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Utakua mtunzi mzuri wa story za kufikirika[emoji1787][emoji1787]
Dah.!!!

Ungepitia hii situation ndio ungejua ujui.. mmeathiriwa na riwaya. Aya mambo yapo kaka na ijumaa ndio naenda kufanya ivyo.
 
Sometimes inaumiza Sana, unamuamini mtu takriban [emoji817],then anakuja kuvunja uaminifu kirahisi tu, mbaya zaidi hakuambii ukweli kuwa Hana mapenzi na wewe anachofanya ni kukupotezea muda na si vinginevyo, hili suala nimeliona likitokea kwa watu wengi sana,

Nawashauri dada zangu kama unahisi mtu huna mapenzi nae, Basi muambie ukweli utakuwa umefanya Jambo la maana Sana, na pia utamuokoa yeye na muda wake, kuliko upuuzi ambao wengi mnaufanya kwani utapelekea matatizo makubwa!
Dada zetu wengi wao ni tegemez amwambie mpenzi wake ukweli ili hakose Huduma, mfano demu wako ana kupa gari pesa na zawadi nyingi Una weza kumwambia ukweli kwamba humpendi?
 
Dada zetu wengi wao ni tegemez amwambie mpenzi wake ukweli ili hakose Huduma, mfano demu wako ana kupa gari pesa na zawadi nyingi Una weza kumwambia ukweli kwamba humpendi?
Mkuu kwa namna hii UKIMWI ni ngumu sana kuuepuka, unakuwa ktk cycle ya watu zaidi ya 50 bila ya wew kujua.

Sababu dem akishakuwa na mabwana wawili au watatu wa nje basi ujue cycle yako ni kubwa kinoma bro. Hao mabwana wana madem zao wengine na hao wengine wanawatu wao wengine kwaiyo inaenda ivyo ivyo. UKIMWI ukiingia tu kwa iyo cycle bas jua mtanusurika wachache wenye kinga imara pekee wengi mnakwenda
 
Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.

Sasa wiki iliyopita nikaona hapana kwa huu utulivu ivi ndivyo alivyo au anauasi nyuma ya pazia maana hana ishara ya kuchepuka japo simu yake uwa anaiweka password ngumu kinoma, nikatengeneza account ya Facebook nikachukua picha za jamaa angu wa mkoani ni handsome na mtu wa viwanja vikali, mtu wa kubadirisha magari tu, nikaziweka picha zake kadhaa nikamfriend request mchumbaangu akaAccept, tukachart kama siku mbili kisha nikamtongoza hajachomoa demu akakubari safi tu, nikatafuta laini mpya kisha nikaDownload app ya kubadirisha sauti nikawa naongea nae adi usiku tunachart whatsapp kisha nikamdanganya mim naishi mtaa wa nne kutoka kwao ila nikamwambia nimesafiri mara moja ila ijumaa narudi,

Nikampromise namletea zawadi ya simu ya Samsung brand new na viatu, nikachukua clip fupi ya samsung unboxing yan akapagawa , akafurahi sana na mabusu mengi mengi, nikamuomba picha zake za uchi akapiga akanitumia zakutosha, kiufupi ni kwamba mahaba yakawa yamekolea nazi haswaa tena kwa mtu ambaye hamjui wala hajawai ata kuonana nae ila anamtumia picha za uchi adi K yote kaipiga picha kanitumia. “inaniumiza kichwa lakin nataka niuone mwisho wake huo kesho"

Tumepanga mengi ya maisha adi tupelekane kwao ndani ya wiki na nusu tu kaingia kingi mazima uyu mpenz wangu wa moyo tena kwa mtu hasiyemjua,

Tumepanga tukutane kwenye Guest house fulani ivi iyo ijumaa tuikule mbususu ameniambia fresh na anahamu ya kulionja dushe langu na amenipa ahad nyingi sana za kunipa penz tamu. Sasa nataka nimchezee mchezo japo inaumiza moyo,

nimeshaenda kumpanga na jamaa wa kwenye iyo gest kwamba tucheze mchezo demu nitampigia simu anapokuja nitamwambia aje chumba namba fulani mlango upo wazi, yan anapoingia tu jamaa azime umeme kwenye main switch kuwe giza totoro alaf baada ya dakika maybe 15 awashe ,

Kabla ya yote tumepanga mim na uyu demu kwamba akifika tu tuanze na romance moja kwa moja kabla ya salamu, sasa mim nitamuanza na romance adi nimle kabisa adi umeme unapowaka akute kumbe yule mpenz wake mpya wa Facebook sio kumbe ni mim mpenz wake ninayetarajia kumuoa na kwao nimetambulishwa na huduma zote namfanyia, .

Wakuu hii situation inaniumiza moyo na sijui kama Dushe litasimama lakin nitaliinua na K-vant mojamoto..

WAKUU ILO TUKIO NALIFANYA KESHOKUTWA NIOMBEENI WAKUU..

[emoji24][emoji24][emoji24]

Tukuombee nini sass

We Kama umeamua kufanya tukio we Fanya tu
 
Ahaaahaaahaa...hii chai ni ya moto imeunguza hadi koo

Nyuzi zimekuwa nyingi hizi sijui sababu ni nini[emoji848]
 
Ahaaahaaahaa...hii chai ni ya moto imeunguza hadi koo

Nyuzi zimekuwa nyingi hizi sijui sababu ni nini[emoji848]
Bro zile nyuzi zimetusababisha tuzifanyie majaribio alaf kitu inanasa mulemule. Wadada mnanini lakin
 
Nadhan wanadhan wakileta hizi nyuzi ndo wanapata attention,likes,na comments
Bidada aya ni maisha tunayoyapitia waswazi uku, wew wa mboga kadhaa ni ngumu sana kuyapitia.. aya maisha yapo na mim ndio nayapitia, na ijumaa ndio siku ya tukio.

Sio kila jambo la kutunga, ni ukwel 100%
 
Back
Top Bottom