Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Wewe ndio hauna akili, ila hajiuzi
 
Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.
Sijui kama nitaoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa niowe mwezi wa 10 nikasogeza mbele mpaka mwezi huu wa 12.... Na kwa huu uzi ngoja nisogeze tena mpaka mwakani mwezi wa 4
 
Una Muda wa Ziada eitherway....

Kwa kutunga hii story (ingawa sio mbaya sana sababu unatoa burudani) AU

Kama ni kweli umekosa kazi za kufanya..., umefanya hayo yote ili iweje ? Je ukifika mpaka mwisho akasema alikuwa anajua na wewe anakupima akili zako na uaminifu wako kwake ? Huo muda wa kupoteza uliotumia mgelima shamba la mchicha sasa hivi si mgekuwa mnavuna ? Badala ya kupalilia penzi wewe unamwaga magugu....
 
Hakuna cha peke yako dunia ya leo acha roho mbaya,kizuri kula na wenzio,pia kumbuka K haina makombo,mhimu kama mnaheshimiana inatosha yanini kumchunguza binadamu mwinzio utadhani wewe huna mapungufu!ok usisahau kapicha japo ka matako tuone kama yaliyomo yamo
 
Sometimes inaumiza Sana, unamuamini mtu takriban [emoji817],then anakuja kuvunja uaminifu kirahisi tu, mbaya zaidi hakuambii ukweli kuwa Hana mapenzi na wewe anachofanya ni kukupotezea muda na si vinginevyo, hili suala nimeliona likitokea kwa watu wengi sana,

Nawashauri dada zangu kama unahisi mtu huna mapenzi nae, Basi muambie ukweli utakuwa umefanya Jambo la maana Sana, na pia utamuokoa yeye na muda wake, kuliko upuuzi ambao wengi mnaufanya kwani utapelekea matatizo makubwa!
 
Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.
Mimi naomba tu unijuze hiyo app ya kubadili sauti ndicho cha maana hapo nilichokiona. Kuhusu huyo mchumba kuendelea naye ni sawa na kukaa na bom kwenye moto mkali.
 
kila binadamu ana mapungufu yake, ndyo maana wahenga wakasema "ukimchunguza bata hauezi kumla" . Nkutakie kila la kheri, usisahau kuleta mrejesho........
 
Back
Top Bottom