johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haha mkuu tumtagi Fett na Maria...!!Kwa nini wanaharakati wa haki za habari hawajalalamika Trump kunyimwa haki ya kutoa mawazo yake au kuwalaumu tweeter kunyima washabiki wa Trump kukosa ujumbe kutoka kwa kiongozi wao?
Naona wamekaa kimya ila ingekuwa huku kwetu wangepanua midomo saaanana vitisho,
Je wanaogopa tweeter au wanapendelea democratic?
Wao si ni bingwa wa haki hawaogopi mambo ya usalama kwa watu kukosa haki ya habari
Iweje wanamfungia Trump?
Hizi nchi ndogo tunaonewa saana.
Trump alikuwa anahamasisha vurugu ili rais mteule asiapishwe.Ikumbukwe malalamiko yake(Trump) ya kwamba kura hazikuwa halali yalikuwa yameshafanyiwa kazi,na kiukweli jamaa alishindwa uchaguzi.Sasa huwezi kulinganisha na hapa Tz ambapo mlalamikaji huanza na kukemewa na kutafutwa kukamatwa,kabla ya kuyafanyia kazi malalamiko yake.Tusitumie uelewa wetu mdogo kuhalalisha TZ kufungia mitandao ya kijamii.Hapa Tanzania Huduma ya twitter haipatikani kwa uhakika hasa baada ya uchaguzi, inawezekana ni kwa sababu za kiusalama.
Rais Uhuru Kenyatta alifunga akaunti yake ya twitter kwa madai kuwa mambo yaliyojaa huko ni kejeli na kuvunjiana heshima na yeye hana muda na mambo kama hayo.
Nchini Marekani twitter wenyewe wameifunga akaunt ya Rais Donald Trump kwa sababu za kiusalama wa nchi.
Kumbe " kufunga" ni namna bora ya kuhakikisha dunia iko Salama.
Maendeleo hayana vyama!
Uwe unasoma na kuelewa bwashee!Unasema Twitter wamefungia upatikanaji wa mtandao wa twitter Tanzania kwa sababu za kiusalama?!Unaelewa tofauti ya twitter iliyofungiwa Marekani na twitter iliyofungiwa hapa nchini?Kwa nini unalinganisha vitu viwili ambavyo havifanani?Twitter ya marekani imefungiwa na serekali?
Kwahiyo kuna tofauti kati ya Trump na kigogo wa Tanzania?Trump alikuwa anahamasisha vurugu ili rais mteule asiapishwe.Ikumbukwe malalamiko yake(Trump) ya kwamba kura hazikuwa halali yalikuwa yameshafanyiwa kazi,na kiukweli jamaa alishindwa uchaguzi.Sasa huwezi kulinganisha na hapa Tz ambapo mlalamikaji huanza na kukemewa na kutafutwa kukamatwa,kabla ya kuyafanyia kazi malalamiko yake.Tusitumie uelewa wetu mdogo kuhalalisha TZ kufungia mitandao ya kijamii.
Sasa kuna tofauti kati ya uchochezi wa Antipas na Trump?Inasaidia kulinganisha na Ushenzi uliofanywa Tanzania kufunga Internet Oct 27 hadi Nov.10?
Inawapa nafuu kuilaumu Marekani ndo maana KM wenu anatapatapa kufukia mashimo.Sasa kuna tofauti kati ya uchochezi wa Antipas na Trump?
No!Twitter ya Tanzania imefungiwa na serekali lakini kule Marekani account ya twitter ya Trump imefungiwa na kampuni ya twitter baada ya trump kuvunja policy za twitter.Sasa wewe hapa unalinganisha vitu viwili tofauti kabisa!Uwe unasoma na kuelewa bwashee!
Ipo,Trump alijaribu kukatalia madarakani mahakama na vyombo vingine vya nchi vikamkataza,kwa sababu sheria za nchi ziko imara na haziruhusu mtumoja tu kuharibu taifa.Ila kwetu ni directly opposite.Kwahiyo kuna tofauti kati ya Trump na kigogo wa Tanzania?
Elewa Trump alikuwa rais,aliyetaka kung'ang'ania madarakani nchi ikakataa,LiSSU ni mtu aliyekataa matokeo baada ya kuchakachuliwa.Na sisi Kuna mtu yeye alifaulu kufanya ya Trump.Sasa kuna tofauti kati ya uchochezi wa Antipas na Trump?
Nimekuelewa sana mkuu. Kama serikali ilivyozima mitandao kipindi cha uchaguzi.
Wamemdhibiti Trump asiendelee kupotosha na kuhamasisha maandamano zaidi ya wafuasi wake wanaoamini kuwa Democrats wameiba kura zake.
Tofauti ipo kati ya wafuasi wao lakini masterling wenyewe Trump na Antipas wanafanana sana.Inawapa nafuu kuilaumu Marekani ndo maana KM wenu anatapatapa kufukia mashimo.