Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Ni sahihi kabisa maana hata mtandao wenyewe wa mabeberu.Hapa Tanzania Huduma ya twitter haipatikani kwa uhakika hasa baada ya uchaguzi, inawezekana ni kwa sababu za kiusalama.
Rais Uhuru Kenyatta alifunga akaunti yake ya twitter kwa madai kuwa mambo yaliyojaa huko ni kejeli na kuvunjiana heshima na yeye hana muda na mambo kama hayo.
Nchini Marekani twitter wenyewe wameifunga akaunti ya Rais Donald Trump kwa sababu za kiusalama wa nchi.
Kumbe " kufunga" ni namna bora ya kuhakikisha dunia iko Salama.
Maendeleo hayana vyama!
Mimi nawaamini sana Wazarendo, ni wakati sahihi sasa wa kukataa kila kitu cha "mabeberu" kama mitandao, VXR V8, Mabomu ya machovu, Helicopters, silaha alias mabunduki, n.k
Yote haya naona yanahatarisha usalama.