Kumbe mtandao wa Twitter unaweza kuhatarisha usalama endapo utatumika vibaya, ndio maana huwa unafungwa!

Kumbe mtandao wa Twitter unaweza kuhatarisha usalama endapo utatumika vibaya, ndio maana huwa unafungwa!

Hapa Tanzania Huduma ya twitter haipatikani kwa uhakika hasa baada ya uchaguzi, inawezekana ni kwa sababu za kiusalama.

Rais Uhuru Kenyatta alifunga akaunti yake ya twitter kwa madai kuwa mambo yaliyojaa huko ni kejeli na kuvunjiana heshima na yeye hana muda na mambo kama hayo.

Nchini Marekani twitter wenyewe wameifunga akaunti ya Rais Donald Trump kwa sababu za kiusalama wa nchi.

Kumbe " kufunga" ni namna bora ya kuhakikisha dunia iko Salama.

Maendeleo hayana vyama!
Ni sahihi kabisa maana hata mtandao wenyewe wa mabeberu.

Mimi nawaamini sana Wazarendo, ni wakati sahihi sasa wa kukataa kila kitu cha "mabeberu" kama mitandao, VXR V8, Mabomu ya machovu, Helicopters, silaha alias mabunduki, n.k

Yote haya naona yanahatarisha usalama.
 
Hapa tupo upande wa wananchi na sio watawala

Hicho "Kila Kitu" gani kinasababisha uvunjifu wa amani ni kipi?

Naona unachanganya uvunjifu wa amani kwenye nchi na wa mtu mmoja mmoja binafsi!

Do not compare the two

Katika kila vurugu kuna pande,wewe unanyonya matakor ya watawala,sisi tupo upande wa wananchi no matter how wrong they are!

Haijalishi,tupo upande wa wananchi hata kama wao ndio wamekosea utawala haujakosea,wananchi ndio ultimate legitimacy ya nchi....watawala mkale mavi huko!
Hata upungufu wa chakula au maji vinaweza kusababisha uvunjifu wa amani mahali husika.
 
Mataga bwana [emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ni Usalama wa nchi since wafungie account ya mtu mbona wanafungia Twitter while at the same time "watu wa serikali" wanatumia under proxy and VPN !!!
 
Hapa Tanzania Huduma ya twitter haipatikani kwa uhakika hasa baada ya uchaguzi, inawezekana ni kwa sababu za kiusalama.

Rais Uhuru Kenyatta alifunga akaunti yake ya twitter kwa madai kuwa mambo yaliyojaa huko ni kejeli na kuvunjiana heshima na yeye hana muda na mambo kama hayo.

Nchini Marekani twitter wenyewe wameifunga akaunti ya Rais Donald Trump kwa sababu za kiusalama wa nchi.

Kumbe " kufunga" ni namna bora ya kuhakikisha dunia iko Salama.

Maendeleo hayana vyama!

You really missed the point. Tatizo mnakurupuka tu kuandika ujinga
 
Back
Top Bottom