Kumbe Mungu alikatazaga Kusherehekea sikukuu za miandamo ya Mwezi Isaya 1:14 (NENO)

Mcanada

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
982
Reaction score
1,942
  • Isaya 1:14 (NEN) Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi, na sikukuu zenu zilizoamriwa: moyo wangu unazichukia. Zimekuwa mzigo kwangu, nimechoka kuzivumilia.​

Leo nimeamka alfajiri sana niingie kwenye maombi maana nimetenda dhambi nyingi za kuchepuka hapa canada ili mke wangu akirudi anikute nikiwa safi kabisa sasa baada ya kusoma soma biblia kwenye simu yangu nikakuatana na huo mstari nikaunganisha dots na nikapata ufunuo fulani unaonipa utata nikaona si vibaya kushare nanyi wadau...

Kifupi Biblia ndio katabu pekee chenye siri nyingi sana za ulimwenguni.. usikisome kama gazeti usikisome kama kitabu cha kawaida... Bible its well coded Book.. kukielewa lazima uwe na IQ ya juu sana..

Muwe na asubuhi nzuri.. maana mshahara ushaingia..
Bwna Yesu asifiweeeeeeeeeee
 
Pasaka
Tunasheherekea baada ya muandamo wa Mwezi,basi atachoka sana.
 
Back
Top Bottom