Kumbe muonekano wa nje unaweza usisadifu yaliyomo ndani

Hivi mnadhani sisi tunajivunia kubaki njia kuu ni wapumbavu saaaana au hatuna tamaa kama ninyi? Tulieni kwa kina Mama yoyoo zenu mfaidi mema ya mahusiano [emoji23]

Unachepuka, unakutana na;
*Bwawa.
*Harufu mbaya ya mwili.
* Uke wa baridi.
*Gogo(Ke asiye na ushirikiano wowote kwa utundu wa mapenzi).
*Mikosi isiyo na ulazima.
*Chuma ulete/pesa mbele sana kuliko upendo wa kweli.
*Ushirikina/limbwata.
*Kupoteza nguvu za kiroho.
*Kupoteza uchumi na muda.

Sasa shida zote hizo za nini mwishowe ufe mapema bure kwa stress za kujitakia [emoji848][emoji2]
 
Mkuu hata kama ni wewe unadhani Kila siku utakunywa coca tu? Sometimes mirinda nyeusi
 
Sasa ukweli ni kua wao huwa hawajui...nlishawahi kukutana na demu wa hivo...aisee ni kama dagaa waliooza wakaoshwa afu maji take ndo harufu inatoka huko...sikurudia kumtia yule demu...ila nlimpigia best yangu docta kuwa how come mwanamke mzuri na msafi nje akawa ananuka uchi..akasema ni ugonjwa na unatibika....kimbembe ikawa jinsi ya kumchana yule demu kua ananuka...wiki mbili zilifanya nikamcheki na kumwambia hali aliyonayo na ndio maana nimemkaushia ila nimemtafuta ili apone..yeye mwenyewe alishangaa kusikia anatoa harufu...ikabidi aende hospital na akapona...na akashkuru kumwambia ukweli....so MKuu kaza moyo umwambie..utakua umemsaidia
 
Mkuu hata kama ni wewe unadhani Kila siku utakunywa coca tu? Sometimes mirinda nyeusi
Huo upumbavu ulishanigharimu sana kupoteza muda na pesa mwishowe nimeona tamaa za mwilini ni endless process.

*Mfano wa tamaa za mwili tokana na mvuto wa ngozi;

Jane - rangi ya ngozi ya chungwa,

Asha - rangi ya ngozi ya chocolate,

Irene - rangi ya ngozi nyeusi (Black beauty)

Latifa - rangi ya ngozi ya Mtume Mohamad,

Rosemary - rangi ya Africast.

*Mfano wa tamaa za mwili tokana na sura;

Amina - uso mwembamba (face dog kichwa chenye kisogo kama Shakira Colombian Musician).

Grace - uso mpana (face cat kichwa kilichozunguka kama mpira au Jessica Simpson USA Musician).

*Mfano wa tamaa za vivutio vya maumbile;

Mwenye dimpozi za mashavu, za kidevu.

Mwenye mwanya,

Mwenye macho meupe na makubwa, yanayosinzia kama yanakukonyeza.

Shingo ya upanga/mistari mistari,

Matiti yaliyosimama/chuchu saa 6/konzi, saizi ya kati(si makubwa wala madogo ila yamesimama),

Hipsi za kawaida, hipsi za haja,

Matako makubwa, matako ya kawaida, yaliyobinuka kama stuli, yaliyomsusia mvutiwaji,

Viuno vya nyigu, viuno vya kawaida,

Mapaja yaliyojikaza nyama hasa hasa Ke wanene, ya kawaida,

Miguu ya bia, ya soda,

Ke mrefu kama twiga, Ke mfupi, Ke mnene, Ke mwembamba, Ke saizi ya kati (kiufupi+ urefu + wembamba + unene)

*Bado tamaa za utaifa kama Muhispania, Muhindi, Mwarabu, Mbrazil n.k

Sasa Ke duniani wako zaidi ya Billion 5, utahangaika nao hadi lini uwamalize na kuridhika nakati bado hapo sijakudadavulia vivutio vya nyuchi zao na ufundi wao [emoji848][emoji1732][emoji847]
 
Au alikua dada poa
 
Lamination please na pin za kutosha ikae pale juu
 
Kwa style hii mtu hawez kutoboa[emoji23][emoji23]
 
labda alikuwa katoka kumaliza "PIROJI"...
muache km wiki hivi then mchape nao tena
 
Jirani ananiambia ndio maana siku hiz wanavaa madela bila vyupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…