Kumbe Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni ukoloni wa mtu mweusi kwa mweusi mwenzake na hofu ya Uislam ?

Kumbe Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni ukoloni wa mtu mweusi kwa mweusi mwenzake na hofu ya Uislam ?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT

Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya.

Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa hawakuwa na kosa moyo wangu sasa ni mweupe juu yao wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kufanyia Babu na Bibi zetu kile walichofanya.
 
Kumbe Ukoloni ni mbaya.

Halafu unadai Ukoloni ni Mzuri.

Kuna tatizo kwenye Mtazamo huo.

Una Makasiriko na Laana ya Milele.

Unasumbuliwa kila Ukimwona mtu Mweusi.

Hiyo ni Laana.
 
Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT
View attachment 2957864

Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya.

Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa hawakuwa na kosa moyo wangu sasa ni mweupe juu yao wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kufanyia Babu na Bibi zetu kile walichofanya.
wazanzibar asili yake ni bara,
kwaiyo ukiona hizi harakati unaelewa tu kuna kitu hapa…. sultan yuko mbioni kurudi
 
Sasa huon kama ninyi tukiwaacha mtaleta waarabu na magaidi apo zanzibar, ilo ni jukumu letu kuhakikisha tunaithibiti zanzibar kwa nia njema
 
Sasa huon kama ninyi tukiwaacha mtaleta waarabu na magaidi apo zanzibar, ilo ni jukumu letu kuhakikisha tunaithibiti zanzibar kwa nia njema
Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi kuuza majitu meusi kama mbuzi na kuyatandika viboko pamoja na kuyakalia kimabavu ? Sasa ndio naelewa walikuwa sahihi sana.

Halafu mimi sio Mzanzibari
 
Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi kuuza majitu meusi kama mbuzi na kuyatandika viboko pamoja na kuyakalia kimabavu ? Sasa ndio naelewa walikuwa sahihi sana.

Halafu mimi sio Mzanzibari
Kuna kitu hujakielewa bado. Wew skiza ile video vzr utapat majib y tunatakiwa tuitawale zanzbar izo ni sababu za kiusalama hasa iyo jamii ya apo na uhusiano na ugaidi. Nyerere aliona mbali unadhan wew na waasisi wa ili taifa wew ndo una akili kuzid wao? We endelea kupambn na mafuriko uko rufiji haya huyawezi ni more complicated for simply ua poor brain capacity to figure it out.
 
Nyerere aliambiwa na malkia wa uingereza miaka hiyo ,achukue kisiwa cha Zanzibar katika ishu za kiutawala kwa sababu huku bara walikuwa washafanikiwa kila kitu .

Zanzibar iliunganishwa kwa ajili ya usalama wa bara , Nyerere angepata ukinzani mkubwa hata kushambuliwa alihofia hivyo ... Nyerere pia kupitia vugu vugu la udini alidhoofisha mkoa wa Tanga .

Sio kwa ubaya tunasema haya ila yeye alichukuli ingemletea changamoto ,pia kumbuka Nyerere ndio mtanganyika aliyekaa sana na wazungu mpaka kusoma pia kafia huko.

Ina maana ,maamuzi makubwa aliyofanya Nyerere alipewa ushauri na wazungu sio yake, hakuipenda zenji ila alialazimishwa tu.
 
Kuna kitu hujakielewa bado. Wew skiza ile video vzr utapat majib y tunatakiwa tuitawale zanzbar izo ni sababu za kiusalama hasa iyo jamii ya apo na uhusiano na ugaidi. Nyerere aliona mbali unadhan wew na waasisi wa ili taifa wew ndo una akili kuzid wao?
Wazungu na waarabu walikuwa sahihi kuwatawala nyie majitu meusi na kuwauza kama mbuzi maana mnaona ufahari sana kutawaliana.

Ni kipi kilicho wazuia nyie kuimarisha ulinzi wenu binafsi bila kutawala wengine au ushenzi na upumbavu umewajaa na kuona kutawaliana ni jambo la maana sana ?

Nyerere aliona mbali au alijaa upumbavu tu kama alivyo kumbatia fikra na mawazo mengi ya kipumbavu yaliyo acha taifa katika hali ya uhovyo chini ya CCM yake. Stupid
 
Basi mna rais mzanzibari mwambieni avunje muungano. Kiufupi aya mambo ni above ua poor brain capacity ivo naishia apa cwez kujibzana na small fish as long as am a big fish. Labda samia ndo naweza jibizana nae na akaelewa y hatakiw vunja muungano nyie small fish tunawaona kenge tu. Haizekan umetoka kuopolew kene mafriko uko rufij unakuja kuanza uchukia muungano ambao upo kuthibt usalama wako.
 
Back
Top Bottom