Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
wazanzibar asili yake ni bara,Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT
View attachment 2957864
Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya.
Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa hawakuwa na kosa moyo wangu sasa ni mweupe juu yao wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kufanyia Babu na Bibi zetu kile walichofanya.
wazanzibar asili yake ni bara,
kwaiyo ukiona hizi harakati unaelewa tu kuna kitu hapa…. sultan yuko mbioni kurudi
wazanzibar wametoka wapWatanganyika wanaikalia kimabavu Zanzibar
wazanzibar wametoka wap
Siyo Watanganyika, ni ccmWatanganyika wanaikalia kimabavu Zanzibar
Upo sahihi kwa 100%Watanganyika wanaikalia kimabavu Zanzibar
Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi kuuza majitu meusi kama mbuzi na kuyatandika viboko pamoja na kuyakalia kimabavu ? Sasa ndio naelewa walikuwa sahihi sana.Sasa huon kama ninyi tukiwaacha mtaleta waarabu na magaidi apo zanzibar, ilo ni jukumu letu kuhakikisha tunaithibiti zanzibar kwa nia njema
Maamuzi yafanywa Tanzania TanganyikaSiyo Watanganyika, ni ccm
Ukoloni ni huu unaoitwa muungano wa Tanganyika na ZanzibarKumbe Ukoloni ni mbaya.
Halafu unadai Ukoloni ni Mzuri.
Kuna tatizo kwenye Mtazamo huo.
Una Makasiriko na Laana ya Milele.
Unasumbuliwa kila Ukimwona mtu Mweusi.
Hiyo ni Laana.
Ni vyema wakaachiwa hako kakisiwa kao wakachapana viboko wao kwa waoZanzibar ni kakisiwa ka watu wa hovyo sana! Wanachapa bakora wasiofunga?
Kuna kitu hujakielewa bado. Wew skiza ile video vzr utapat majib y tunatakiwa tuitawale zanzbar izo ni sababu za kiusalama hasa iyo jamii ya apo na uhusiano na ugaidi. Nyerere aliona mbali unadhan wew na waasisi wa ili taifa wew ndo una akili kuzid wao? We endelea kupambn na mafuriko uko rufiji haya huyawezi ni more complicated for simply ua poor brain capacity to figure it out.Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi kuuza majitu meusi kama mbuzi na kuyatandika viboko pamoja na kuyakalia kimabavu ? Sasa ndio naelewa walikuwa sahihi sana.
Halafu mimi sio Mzanzibari
Yeah ndio point.Ni vyema wakaachiwa hako kakisiwa kao wakachapana viboko wao kwa wao
Wazungu na waarabu walikuwa sahihi kuwatawala nyie majitu meusi na kuwauza kama mbuzi maana mnaona ufahari sana kutawaliana.Kuna kitu hujakielewa bado. Wew skiza ile video vzr utapat majib y tunatakiwa tuitawale zanzbar izo ni sababu za kiusalama hasa iyo jamii ya apo na uhusiano na ugaidi. Nyerere aliona mbali unadhan wew na waasisi wa ili taifa wew ndo una akili kuzid wao?
Basi mna rais mzanzibari mwambieni avunje muungano. Kiufupi aya mambo ni above ua poor brain capacity ivo naishia apa cwez kujibzana na small fish as long as am a big fish. Labda samia ndo naweza jibizana nae na akaelewa y hatakiw vunja muungano nyie small fish tunawaona kenge tu. Haizekan umetoka kuopolew kene mafriko uko rufij unakuja kuanza uchukia muungano ambao upo kuthibt usalama wako.Wazungu na waarabu walikuwa sahihi kuwatawala nyie majitu meusi na kuwauza kama mbuzi maana mnaona ufahari sana kutawaliana.
Ni kipi kilicho wazuia nyie kuimarisha ulinzi wenu binafsi bila kutawala wengine au ushenzi na upumbavu umewajaa na kuona kutawaliana ni jambo la maana sana ?
Nyerere aliona mbali au alijaa upumbavu tu kama alivyo kumbatia fikra na mawazo mengi ya kipumbavu yaliyo acha taifa katika hali ya uhovyo chini ya CCM yake. Stupid