Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wamekupa mshahara peke yako tuu. Tznia nzimaHaka kamshahara leo tar 22 mpaka mwanzoni mwa mwezi ujao tutapoteana mapema
Tayari Mkuu?? Mama muuza ongeza mbiliHaka kamshahara leo tar 22 mpaka mwanzoni mwa mwezi ujao tutapoteana mapema
yupo lumumbaMkuu mwajiri wako Nani unafanya kazi wapi
Sasa naenda NMB nikikuta bado utapata ban ya milele maana Nina acha cm hapaWeeee agiza tuuu Mkuu mgodi umetema
Mbona husemi Ukikuta tayari utatuma hata buku tano??Sasa naenda NMB nikikuta bado utapata ban ya milele maana Nina acha cm hapa
Hahaaaa Mkuu umeacha hoiMbona husemi Ukikuta tayari utatuma hata buku tano??
Unawaza uadui tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama hauna mkopo nenda kama una mkopo kausha utafulia kabla ya tar 25
Kazi itakua ngumuHaka kamshahara leo tar 22 mpaka mwanzoni mwa mwezi ujao tutapoteana mapema
Increment ipo mkuu?Kazi itakua ngumu
Hiyo sahauIncrement ipo mkuu?
Namba tunaisoma hadi raha .Hiyo sahau
Kwelii Mkuu ..???Mbona husemi Ukikuta tayari utatuma hata buku tano??
Unawaza uadui tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama hauna mkopo nenda kama una mkopo kausha utafulia kabla ya tar 25
Yaani acha tu.!Namba tunaisoma hadi raha .