Kumbe mwisho wa mwezi!

Kumbe mwisho wa mwezi!

Hahaaaa Mkuu umeacha hoi
Haha haha maana nimekuta foleni sio kawaida unadhani baada ya siku tano hawa watu wataishije

Nikawakuta Wale mawakala wa taasisi za mikopo nao wana kadi wamezikusanya kama laki 3[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nikajisemea dah wanakuja kupangusa visenti vyetu
 
Nimekuamini... kama uongo ntakuchukiaaaa..
Huna sabab ya kunichukia
Siwezi kuwadanganyeni maana sitapata faida yoyote

Kama una akiba acha kwanza ipoe ndugu
 
Huna sabab ya kunichukia
Siwezi kuwadanganyeni maana sitapata faida yoyote

Kama una akiba acha kwanza ipoe ndugu
Wewe muongo nimefika hakuna kitu labda wa halmashauri serikali kuu bado
 
Back
Top Bottom