Kumbe mwisho wa mwezi!

Ghulaam

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
1,861
Reaction score
1,461
Haka kamshahara leo tar 22 mpaka mwanzoni mwa mwezi ujao tutapoteana mapema
 
Sasa naenda NMB nikikuta bado utapata ban ya milele maana Nina acha cm hapa
Mbona husemi Ukikuta tayari utatuma hata buku tano??

Unawaza uadui tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama hauna mkopo nenda kama una mkopo kausha utafulia kabla ya tar 25
 
Hahaaaa Mkuu umeacha hoi
 
Mbona husemi Ukikuta tayari utatuma hata buku tano??

Unawaza uadui tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama hauna mkopo nenda kama una mkopo kausha utafulia kabla ya tar 25
Kwelii Mkuu ..???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…