Nimekuamini... kama uongo ntakuchukiaaaa..Yah niko serious
Haha haha maana nimekuta foleni sio kawaida unadhani baada ya siku tano hawa watu wataishijeHahaaaa Mkuu umeacha hoi
Mshahara umetoka muda mrefu uliopita Kama saa naneNimekuamini... kama uongo ntakuchukiaaaa..
Wewe muongo nimefika hakuna kitu labda wa halmashauri serikali kuu badoHuna sabab ya kunichukia
Siwezi kuwadanganyeni maana sitapata faida yoyote
Kama una akiba acha kwanza ipoe ndugu
Pole, mie nishachomoa kitambo mpaka nimeshasahauLabda walinzi wa getini ndo waliopata..wengine bado
UongoMshahara umetoka muda mrefu uliopita Kama saa nane
Kweli MkuuLabda walinzi wa getini ndo waliopata..wengine bado
Benk ganPole, mie nishachomoa kitambo mpaka nimeshasahau
NMB mkuuBenk gan
Basi itakuwa ishu ya halmashauri husika. Mimi nipo Iringa DC., na hapa sikutaniiHamna chochote Mkuu nimetoka mda si mrefu
Poa ngoja tusubiriBasi itakuwa ishu ya halmashauri husika. Mimi nipo Iringa DC., na hapa sikutanii