Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, alipoulizwa ni mwanasiasa gani anamkubali akamtaja aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi
Mzee Butiku amesema kama anayoyasema Nchimbi yangezingatiwa basi yangeonyesha njia
Mzee Butiku amesema kama anayoyasema Nchimbi yangezingatiwa basi yangeonyesha njia