Kumbe mzungu aliekamata ndege yetu anaidai pia Kenya billions of shillings na pia ameiba thousands of acres huko Kenya

Wale waliokua wanashangilia wakafungua nyuzi kama mia [emoji23][emoji23][emoji23] wakidai eti tuwalipe, mm nawauliza tu swali moja: je kuna mtu mweusi anamiliki shamba ulaya?
Kibabu kaambiwa yeye sio raia wa South Africa na wala Gauteng haina legitimacy ya kushika aircraft yetu sababu lawsuit haina uhusiano na South Africa, kaambiwa kama ni haki yako ifate kwenye mahakama za Tanzania

Sisi Tanzania tunamsubiri kwa hamu tu aje tumpe chake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mali yake kivipi,ebu fanya research kama kuna mwafrika anaemiliki ardhi kubwa in europe
Na hapo ndio baadhi ya Waafrica tunazidi upambe yaani mtu anajifanya humanitarian mpaka anamzidi Mother Teresa of Calcutta, hivi kuna kiongozi hata mmoja wa West au hata International bodies like amnesty International au UN ameshatoa karipio kuhusu yanayoendelea South?

Lakini Mugabe alipojaribu kuchukua tu mashamba yao wa Zimbabwe yaliyokua yakimilikiwa na wazungu, nchi zote za wazungu ziliiwekea vikwazo na kuharibu kabisa uchumi wa Zimbabwe mpaka leo
 
Wale waliokua wanashangilia wakafungua nyuzi kama mia [emoji23][emoji23][emoji23] wakidai eti tuwalipe, mm nawauliza tu swali moja: je kuna mtu mweusi anamiliki shamba ulaya?
Kuna wale waliokua wakiwakebehi mawakili wetu mara ooh hoja zao za kibashite, ooh hawatoweza kuongea English (at the same time case zote za high court Tanzania huendeshwa kwa English), ooh hakuna mzungu fala na blabla nyingi kwamba tutashindwa, saivi yako na soni hawana pa kuipeleka.
 
Unaambiwa anamiliki thousands of acres kwa mabavu na Kenya haina la kumfanya sababu hata Uhuru hawezi muambia kitu, na bado anaidai Kenya billions of money

Ni Tanzania tu inayoweza hii Vita Africa, nchi nyingi Africa zina worst land ownership policies especially kwa their former colonialists, ardhi ambayo ipo already alienated on colonial rules imekua ngumu sana kuzirudisha hata baada ya independence

Angalia Zimbabwe, South Africa, Kenya, Uganda, Namibia, Botswana you name it almost all of the continent ni Tanzania tu ndio imefanikiwa kwenye hili, ndio maana Kenya mpaka leo ardhi ,yenye rutuba 60% inamilikiwa na wazungu na hakuna mkenya anaweza fanya lolote na ndio maana wanakufa njaa huku mzungu akiendelea kumake billions from flower business in Europe

Funniest thing ni kwamba they played us mockery kwenye hili saga la huyu mzungu ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake

Siyo hivyo tuu, huyu jamaa alikuwa muuaji mzuri wa tembo na faru na msafirishaji wa nyara na pia mlanguzi mkubwa na msafirishaji wa vito vya thamani kupitia ndege zake.
Ule wakati ambao alikuwa anaishi nchini alikuwa jeuri sana na alikuwa anajigamba kuwa serikali yote iko mikononi mwake. Mzee JK alimvutia timing na mwisho wake akakamatwa, kuwekwa ndani na kutaifishwa kwa mashamba pamoja na mali zake.
 
Ila Watanzania sometimes sijui ni ulimbukeni wa siasa na uchama mwingi unaozidi akili ya kawaida na kuangalia maslahi mapana ya taifa au vipi, hili saga kwa akili ya haraka haraka lina pictures nyingi sana zipo external tensions nyingi zinazoshiriki kuihujumu na kuikwamisha serikali ya awamu ya 5 kutokutekeleza agenda zake

Kuna watu wanaojiita Watanzania walikuwa wakishinikiza sana kwamba serikali ilipe deni na kwamba tuache excuses za mabeberu ila nafurahi wanafki mwisho wao ni aibu, kwa akili ya kawaida tu haiwezekani JPM apige pini makinikia, umeme wa capacity charges ambao kwa siku lazima tanesco itoe billion 6 huku yenyewe ikiingiza billion 4, kureset mikataba ya ya rasilimali ambapo vyote hivi kwa ujumla ni ulaji wa mabeberu

Then yatokee mambo kama haya tuache kufanya preliminary linking na hujuma za mabeberu na washindani wetu kwenye game, ni mengi yanaendelea lakini serikali imenyamaza kimya, zipo sabotage nyingi na pale serikali inapotoa pre amble huwaga wanainuka zero brains wengi sana kupinga with vacuum insight bila kujua serikali ina resources nyingi na machinery ambazo haiwezi bahatisha
Kwanini hutaki kukubaliana na ukweli kwamba huyu jamaa alipeleka kesi ya kudai haki yake katika MAHAKAMA za Tanzania na alishinda kesi na serikali ya Tanzania kuamriwa kumlipa $36M?, hata baada ya serikali ya Tanzania kukata rufaa MAHAKAMA ya rufaa pia lishindwa?

Huyu jamaa kwenda huko South Afrika, alikwenda kukazia hukumu, kwenda kuomba nchi zingine kimsaidia kuishindikiza serikali ya Tanzania kumlipa kile walichoamuriwa na MAHAKAMA za Tanzania, wala sio mahakama za nje, tatizo lipo wapi kama mtu anapigania kulipwa haki yake halali aliyopewa na mahakamani?, huu ni uzalendo gani wa kushabikia serikali kukiuka amri za MAHAKAMA heti kwa sababu ni mzungu?

Hata wanasheria wetu hawakanishi kwamba hatudaiwi, wao wanachodai ni kwamba, kisheria alipaswa kutumia mahakama za Tanzania. Kitu cha kushangaza ni kwamba, hao wanasheria wetu wanaomkosoa huyu jamaa kwa kutotumia mahakama za Tanzania, ndio hao hao ambao wamekua wakipuuza AMRI za MAHAKAMA hizo hizo za Tanzania.

Huu wimbo wa "Mabeberu hawatutakii mema" unapendeza zaidi tukiuimba kwa kuangalia "Muktadha" na mazingira, huwezi kuimba nyimbo za "Bongo flava" katika msiba, japo ni wimbo MZURI, ila mazingira yake hayaruhusu.
 
Siyo hivyo tuu, huyu jamaa alikuwa muuaji mzuri wa tembo na faru na msafirishaji wa nyara na pia mlanguzi mkubwa na msafirishaji wa vito vya thamani kupitia ndege zake.
Ule wakati ambao alikuwa anaishi nchini alikuwa jeuri sana na alikuwa anajigamba kuwa serikali yote iko mikononi mwake. Mzee JK alimvutia timing na mwisho wake akakamatwa, kuwekwa ndani na kutaifishwa kwa mashamba pamoja na mali zake.
hivi ndio mzungu alikua anajitapa kuwa serikali yote ya Tz nimeiweka mfukoni?(kuna hotuba moja,nyerere aliongelea mzungu mmoja kuongea hivyo)
 
Unaambiwa anamiliki thousands of acres kwa mabavu na Kenya haina la kumfanya sababu hata Uhuru hawezi muambia kitu, na bado anaidai Kenya billions of money

Ni Tanzania tu inayoweza hii Vita Africa, nchi nyingi Africa zina worst land ownership policies especially kwa their former colonialists, ardhi ambayo ipo already alienated on colonial rules imekua ngumu sana kuzirudisha hata baada ya independence

Angalia Zimbabwe, South Africa, Kenya, Uganda, Namibia, Botswana you name it almost all of the continent ni Tanzania tu ndio imefanikiwa kwenye hili, ndio maana Kenya mpaka leo ardhi yenye rutuba 60% inamilikiwa na wazungu na hakuna mkenya anaweza fanya lolote na ndio maana wanakufa njaa huku mzungu akiendelea kumake billions from flower business in Europe

Funniest thing ni kwamba they played us mockery kwenye hili saga la huyu mzungu ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake

Nyangaus mupoooo
 
Kibabu kaambiwa yeye sio raia wa South Africa na wala Gauteng haina legitimacy ya kushika aircraft yetu sababu lawsuit haina uhusiano na South Africa, kaambiwa kama ni haki yako ifate kwenye mahakama za Tanzania

Sisi Tanzania tunamsubiri kwa hamu tu aje tumpe chake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh te teee akuje Tanzania tumshughulikie atajua ajui
 
Kwanini hutaki kukubaliana na ukweli kwamba huyu jamaa alipeleka kesi ya kudai haki yake katika MAHAKAMA za Tanzania na alishinda kesi na serikali ya Tanzania kuamriwa kumlipa $36M?, hata baada ya serikali ya Tanzania kukata rufaa MAHAKAMA ya rufaa pia lishindwa?

Huyu jamaa kwenda huko South Afrika, alikwenda kukazia hukumu, kwenda kuomba nchi zingine kimsaidia kuishindikiza serikali ya Tanzania kumlipa kile walichoamuriwa na MAHAKAMA za Tanzania, wala sio mahakama za nje, tatizo lipo wapi kama mtu anapigania kulipwa haki yake halali aliyopewa na mahakamani?, huu ni uzalendo gani wa kushabikia serikali kukiuka amri za MAHAKAMA heti kwa sababu ni mzungu?

Hata wanasheria wetu hawakanishi kwamba hatudaiwi, wao wanachodai ni kwamba, kisheria alipaswa kutumia mahakama za Tanzania. Kitu cha kushangaza ni kwamba, hao wanasheria wetu wanaomkosoa huyu jamaa kwa kutotumia mahakama za Tanzania, ndio hao hao ambao wamekua wakipuuza AMRI za MAHAKAMA hizo hizo za Tanzania.

Huu wimbo wa "Mabeberu hawatutakii mema" unapendeza zaidi tukiuimba kwa kuangalia "Muktadha" na mazingira, huwezi kuimba nyimbo za "Bongo flava" katika msiba, japo ni wimbo MZURI, ila mazingira yake hayaruhusu.
Hiyo kesi alikula dili na viongozi wa serikali ili ashinde wagawane Pesa kwenye rumbesa kesi za kisanihi hizo siyo kwa magufuli
 
Siyo hivyo tuu, huyu jamaa alikuwa muuaji mzuri wa tembo na faru na msafirishaji wa nyara na pia mlanguzi mkubwa na msafirishaji wa vito vya thamani kupitia ndege zake.
Ule wakati ambao alikuwa anaishi nchini alikuwa jeuri sana na alikuwa anajigamba kuwa serikali yote iko mikononi mwake. Mzee JK alimvutia timing na mwisho wake akakamatwa, kuwekwa ndani na kutaifishwa kwa mashamba pamoja na mali zake.
Hili ni la kweli kabisa, tatizo wanaomtetea ni vitoto vya smartphone era na vivivu vya kutafuta nyaraka, mkulima gani anaemiliki ndege zaidi ya 10 na 4 wheels drives za kutosha mbugani, hili lilikuwa beberu-tembo
 
Kuna wale waliokua wakiwakebehi mawakili wetu mara ooh hoja zao za kibashite, ooh hawatoweza kuongea English (at the same time case zote za high court Tanzania huendeshwa kwa English), ooh hakuna mzungu fala na blabla nyingi kwamba tutashindwa, saivi yako na soni hawana pa kuipeleka.
Hawajui kama TZ inawasomi kweli sio wasomi wa kutrend kwenye google wanasheria wa kenya watafuta umaarufu google wakijichangana TZ lazima wakae sisi hatutaki umaarufu wala data za sifa tunataka uhalisia wakenya wao wabaki kusema wasomi wengi wapo Kenya , vyakula vingi vinalimwa Kenya laikin hamna uhalisia
 
Hv hakina story nyingine hapa jf nje ya story za huyo mzungu wa ndege, kila siku mzungu na ndege aise!
 
Hili ni la kweli kabisa, tatizo wanaomtetea ni vitoto vya smartphone era na vivivu vya kutafuta nyaraka, mkulima gani anaemiliki ndege zaidi ya 10 na 4 wheels drives za kutosha mbugani, hili lilikuwa beberu-tembo
Mbona unashusha heshima yako uliyojijengea kama mmoja ya watu wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja?. Labda kama hujaizunguka dunia ndio unaweza kumshangaa mkulima tajiri mwenye hizo ndege.

Wakati huku Afrika, wakulima, wavuvi na wafugaji ni watu masikini, kwa wenzetu ni kinyume chake. Hata hapo South Afrika, wazungu ni matajiri kutokana na KILIMO.

Kumbuka "Large scale farmers", hao hao ni lazima wanakuwa na viwanda, akivuna matunda, anauza Juice, akivuna pamba anauza nguo, ila anajulikana kama mkulima.

Kitu kinachonishangaza sana ninaanza kuogopa, ni kitendo cha kujenga tabia ya kutoheshimu maamuzi ya MAHAKAMA.

Kweli kabisa MTU mzima mwenye akili timamu abadhabikia tabia ya kutoheshimu amri za mahakama zetu tulizojiwekea wenyewe kweli kabisa?. Mtu mzima bila haya kabisa anashabikia tabia ya kutoheshimu amri ya MAHAKAMA kuu na mahakama ya rufaa?
 
Back
Top Bottom