Kumbe Mzungu wa Simba ameleta vifaa vya Sensa

Kumbe Mzungu wa Simba ameleta vifaa vya Sensa

Kinumbo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
3,039
Reaction score
5,560
Wakuu mko poa?

Za ndani kabisa inasemekana yule mzungu wa Simba Dejan Georgijevic kumbe alileta vifaa vya kuhesabia raia kwenye zoezi la sensa.

Hivyo Simba wakaamua kumdaka juu kwa juu ili kuwatisha wapinzani wao, aisee hizi klabu zina vituko sana.

Uzi tayari, povu ruksa kabisa.
 
Back
Top Bottom