Kumbe na nyinyi wanaume hamjielewi

Naenda kumwambia kuwa umesema hajielewi utakoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We nae ni mjinga tu, mme wako hajitambui ndiyo unataka utuunganishe wanaume wote?
 
Jamani Mayele anataka kuvunja ndoa ya mtu. Halafu Mayele mwenyewe wala hata hajui kuwa kesha sababisha kasheshe mahali fulani...
 
Ah
ahahahahah
 
Hiyo ndio maana halisi ya utopolo. Wewe na mume wako ni utopolo halisi.
 
Hahahaaaaa hatari tupu mwambie mayele ndio habareeeeeeeeeeee ya mujini akikomaa mwambie unataka ukampe tena yooote kabisa alaaahhh aacha mambo ya kiboya huyo jamaa una bahati niko ughaibuni ningekutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…