Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Aah KumbeNa wao hutaniwa kwa majina ya unyanyapaa, mfano kiswaswadu, rungu, nyundo nk. Leo ndiyo nimefahamu😅
Afadhali yangu Mimi siyo Mfupi. Ni hela tu ndiyo bado sina 😅
[emoji1787][emoji1787]umetukanwa na mfupi mwenye hela nini?Na wao hutaniwa kwa majina ya unyanyapaa, mfano kiswaswadu, rungu, nyundo nk. Leo ndiyo nimefahamu[emoji28]
Afadhali yangu Mimi siyo Mfupi. Ni hela tu ndiyo bado sina [emoji28]
Rich tena 😌Rich, dark, tall and handsome are more preferable
Hivi Utani na Unyanyapaa viko sawa?unyanyapaa
Nikwambie kitu... Uumbaji haudhihakiwi, maana hujafa hujaumbika..Na wao hutaniwa kwa majina ya unyanyapaa, mfano kiswaswadu, rungu, nyundo nk. Leo ndiyo nimefahamu[emoji28]
Afadhali yangu Mimi siyo Mfupi. Ni hela tu ndiyo bado sina [emoji28]
Wise wordsNikwambie kitu... Uumbaji haudhihakiwi, maana hujafa hujaumbika..
Hao wanaowaita wenzao hayo majina usiwaige maana HUJAFA HUJAUMBIKA!
Nimekuelewa babaNikwambie kitu... Uumbaji haudhihakiwi, maana hujafa hujaumbika..
Hao wanaowaita wenzao hayo majina usiwaige maana HUJAFA HUJAUMBIKA!
Kumbe Ni hivyo?!Mwanamke kupenda mwanume mrefu ni kujificha kwenye kichaka cha kupenda uume mkubwa.,
Wanawake wanapenda wanaume warefu sababu kimaumbile pia wana maumbile marefu.
Hakuna cha sijuwi handsome wala headsome.
Ongezea afya imara,ila wadada wengi wanapigania wawe na tackleKwenye maisha yako pigania haya, Uhai, akili, Pesa.
Urefu au ufupi, weupe au weusi, hauna maana yoyote Kama hauna hivyo hapo juu.
Mtu mrefu asiye na akili au pesa ni Kama NG'OMBE tuu