micky massawe
Member
- Jan 30, 2014
- 29
- 4
hio tar 1 April kumbuka ni foolish day haya ngoja tuone
Ipi sahihi 'Foolish Day' au 'Fools Day'?
Bt hata kama ni cku ya wajinga kama ni cku ya kazi co wkeend tutaingia kazini tu kama kawaida...kumbuka cku ya wajinga haitambuliki kiserikali..