Kumbe naibu waziri mhagama alikua sahihi kabisa

Kumbe naibu waziri mhagama alikua sahihi kabisa

micky massawe

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
29
Reaction score
4
Ndugu zangu walimu wa Subira wenzangu taarifa ya naibu waziri Jenista kama ilikua ya ukwel japo wengi tuliipinga ..kwa Mujibu wa gazeti la Leo la Uhuru ni kwamba serikali ishakamilisha kila kitu na majina na vituo vya kazi vitatangazwa mwezi ujao.ila kuripoti ni kuanzia tarh 1 April.

Hebu tuivutie Subira walimu wenzangu tuone itakuaje tena....
 
hio tar 1 April kumbuka ni foolish day haya ngoja tuone
 
Bt hata kama ni cku ya wajinga kama ni cku ya kazi co wkeend tutaingia kazini tu kama kawaida...kumbuka cku ya wajinga haitambuliki kiserikali..
 
Sio lazima uende tar 1 aprily unaweza enda hata tar 2 baada ya sikuu ya wajinga kupita labda kama m2 ana usongo sana
 
Back
Top Bottom