Kuna mtu nimetoka kumwambia jana, hawa CCM ni akili nyingi... Kuna jambo... Na si hili tu kuna mengine mengi tu... Watu wamekaa vikao na kukubaliana nn wafanye na ni kwa lengo gani ili wapate matokeo wanayotakaIli umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo.
Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe umedhamiria kumtia ulemavu mtoto wa kambo.
Nape na Makamba wamefinywa tu, ili sasa watoto wa kambo (wale wa kanda ilee) waanze kushughulikiwa ipasavyo, na hakuna atakayestukia. Itaonekana ni mpango wa kawaida wa mama.
Inadaiwa watoto hawa hawaishi lawama, wanadai wanabaguliwa, wanafanya mipango hatarishi ya kuandaa mtu wao wa kumtoa mama ndani ya nyumba. Mama kaona ili kushughulika nao pasipo lawama, acha awafinye wanaye wa kuzaa, waanze kulia ndipo awageukie watoto wa kambo.
Ndiyo maana tetesi zinasema haya yaliyofanyika ni tone tu la mabadiliko makubwa yanayokuja. Watoto wa kambo wajiandaye kisaikolojia.
Hata Lowassa alivyowekwa pembeni na Kikwete watu walidhani utani, siasa hazina permanent friend or enemy just interest na usifanye mchezo na power za raisi na nguvu ya chama, hii CCM walikuwepo waasisi kina Nyerere na wameiacha, walikuwepo kina Mrema na wamekiacha chama kinadunda.Kuna nimetoka kumwambia jana, hawa CCM ni akili nyingi... Kuna jambo... Na si hili tu kuna mengine mengi tu... Watu wamekaa vikao na kukubaliana nn wafanye na ni kwa lengo gani ili wapate matokeo wanayotaka
Sawa... Hongera kwakujua kuwa nipo huku kijijini kwetu... Sina kumbukumbu kama lowasa alifariki akiwa ndani ama nje ya CCM.. utanisaidia kujua hiloHata Lowassa alivyowekwa pembeni na Kikwete watu walidhani utani, siasa hazina permanent friend or enemy just interest na usifanye mchezo na power za raisi na nguvu ya chama, hii CCM walikuwepo waasisi kina Nyerere na wameiacha, walikuwepo kina Mrema na wamekiacha chama kinadunda.
CCM ni taasisi imara sana yenye mizizi hadi kwenye shina huko kijijini kwenu na ina ombwe la vijana na wazee wenye uwezo mkubwa sana kuongoza nchi na kushinda uchaguzi.
Nape na Makamba ni watu wadogo sana kwenye chama, CCM haiwezi kutetereka kwa kutoka kwao, ila wao ndio watakaoteseka, wanasiasa hawawezi kufanya chochote bila ya cheo, hata kuuza pipi hawawezi, ndio maana uliona Nape ilibidi ajishushe kwa JPM ili aendelee kuishi.
Watoto wa kambo hawamp kabisa kwenye inner circle ya Dkt Samia alishawaondoa tangu alipochukua madaraka. Ni wao kwa wao walibaki ndiyo maana unaona hakuna walichokifanya zaidi ya kupandisha gharama za maisha na kuishia kumtukana na kumdhalilisha Dkt Samia.Ili umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo.
Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe umedhamiria kumtia ulemavu mtoto wa kambo.
Nape na Makamba wamefinywa tu, ili sasa watoto wa kambo (wale wa kanda ilee) waanze kushughulikiwa ipasavyo, na hakuna atakayestukia. Itaonekana ni mpango wa kawaida wa mama.
Inadaiwa watoto hawa hawaishi lawama, wanadai wanabaguliwa, wanafanya mipango hatarishi ya kuandaa mtu wao wa kumtoa mama ndani ya nyumba. Mama kaona ili kushughulika nao pasipo lawama, acha awafinye wanaye wa kuzaa, waanze kulia ndipo awageukie watoto wa kambo.
Ndiyo maana tetesi zinasema haya yaliyofanyika ni tone tu la mabadiliko makubwa yanayokuja. Watoto wa kambo wajiandaye kisaikolojia.
point yangu ni kwamba lowasa alitoka ccm na ccm ilibaki vile vile tu ila yeye ndio aliopotea hadi kuamua kurudi ccm, yeye ndio aliyekuwa anaihitaji ccm kuliko ccm ilivyokuwa inamuhitaji yeyeSawa... Hongera kwakujua kuwa nipo huku kijijini kwetu... Sina kumbukumbu kama lowasa alifariki akiwa ndani ama nje ya CCM.. utanisaidia kujua hilo
BTW Tanzania hatupo kwenye mfumo wa vyama vingi
Ili tujue km kweli au unapika uongoIli ukatambe kijiwe cha kahawa wakuogope ๐ ๐
Sukuma Gang siyo wa mchezo mchezo wewe!! Kazi wameshaimaliza sasa wanapapasapapasa tu "Wazuri Hawafi" wako hoi bin taabani. Chezea Sukuma Gang wewe!! ๐คฃ๐คฃAassh kumbe lengo lake ni kusafisha Sukuma Gang! Sasa nimeanza kumuelewa Chifu Hangaya.
Muulize Ndugai atakupa majibu sahihi alivyoondolewa uspika huku anautaka.Sukuma Gang siyo wa mchezo mchezo wewe!! Kazi wameshaimaliza sasa wanapapasapapasa tu "Wazuri Hawafi" wako hoi bin taabani. Chezea Sukuma Gang wewe!! ๐คฃ๐คฃ
Watoto wa mjini mmepigwa kitu cha supriseIli umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo.
Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe umedhamiria kumtia ulemavu mtoto wa kambo.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Nape na Makamba wamefinywa tu, ili sasa watoto wa kambo (wale wa kanda ilee) waanze kushughulikiwa ipasavyo, na hakuna atakayestukia. Itaonekana ni mpango wa kawaida wa mama.
Inadaiwa watoto hawa hawaishi lawama, wanadai wanabaguliwa, wanafanya mipango hatarishi ya kuandaa mtu wao wa kumtoa mama ndani ya nyumba. Mama kaona ili kushughulika nao pasipo lawama, acha awafinye wanaye wa kuzaa, waanze kulia ndipo awageukie watoto wa kambo.
Ndiyo maana tetesi zinasema haya yaliyofanyika ni tone tu la mabadiliko makubwa yanayokuja. Watoto wa kambo wajiandaye kisaikolojia.
Inategemea na mtawala. 2020 ilikuwa chuma Ile, watu washaridhika nayo.CCM huwa inategemea kura zenu?? Au mmesahau 2020
Angefukuza barazani Zima kuanzia Pm na watu wakeIli umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo.
Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe umedhamiria kumtia ulemavu mtoto wa kambo.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Nape na Makamba wamefinywa tu, ili sasa watoto wa kambo (wale wa kanda ilee) waanze kushughulikiwa ipasavyo, na hakuna atakayestukia. Itaonekana ni mpango wa kawaida wa mama.
Inadaiwa watoto hawa hawaishi lawama, wanadai wanabaguliwa, wanafanya mipango hatarishi ya kuandaa mtu wao wa kumtoa mama ndani ya nyumba. Mama kaona ili kushughulika nao pasipo lawama, acha awafinye wanaye wa kuzaa, waanze kulia ndipo awageukie watoto wa kambo.
Ndiyo maana tetesi zinasema haya yaliyofanyika ni tone tu la mabadiliko makubwa yanayokuja. Watoto wa kambo wajiandaye kisaikolojia.
๐ฎ๐ฎ๐ฎWatoto wa kambo hawamp kabisa kwenye inner circle ya Dkt Samia alishawaondoa tangu alipochukua madaraka. Ni wao kwa wao walibaki ndiyo maana unaona hakuna walichokifanya zaidi ya kupandisha gharama za maisha na kuishia kumtukana na kumdhalilisha Dkt Samia.
๐ฑ๐ฑ๐ฑ๐ฑ๐จ๐จ๐จ๐จ๐จ๐ฆ ๐ฆ ๐ฆ ๐ฆ ๐ฆ ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฎ๐ฎ๐ฎ