Kumbe naweza tengeneza 1M kwa masaa machache tu!

ss hv hakuna uhitaji wa hivyo wa popocorn..machine zimekuwa nyingi biashara ikafa..ukiuza za 5000 kwa siku ww umeuza mnooo
Aise mkuu..kweli yani hii biashara imekuwa ngumu...mi ndio hustle nimeipiga nikidunduliza mpaka nikapata ada ya chuo..ila kwa sasa..kiukweli hazitoki kivile...njia panda sasa...
 
Field ni tofauti sana na kwenye pepa.
Uhalisia utakupa majibu sahihi.
Kila la kheri. Usishangae ukaanza kuzila mwenyewe tu.
 
Aise mkuu..kweli yani hii biashara imekuwa ngumu...mi ndio hustle nimeipiga nikidunduliza mpaka nikapata ada ya chuo..ila kwa sasa..kiukweli hazitoki kivile...njia panda sasa...

Hakuna kitu..yaan biora ununue matunda ukae golini uuze na kukata kata
 
Sema kwa hii mishe mpaka utoboe million si mchezo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…