Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
 
Mbona Makonda kasifiwa alikichemsha chama?!
 
Kwa sababu wote ni watoto wa mjini na Makonda ni mlugaluga
 
Mzee na kijana wapi na wapi?
Kwanza Nchimbi alikuw haonekani, wananchi walikuwa wanaitaka sautiya Makonda!
 
Kwanza tuambie ili tujue kama unachoandika kina ukweli. Wakati Makonda akiwa Katibu mwenezi, Nchimbi alikuwa nani ili aambatae na Makonda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…