Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Na hivi vimisemo navyo huchangia sana.... Mara ndoa ndoana..................Mara mdoa msalaba...............Mara mbingu za maisha.............. mara ndoa kuvumiliana wakati hicho cha kuvumiliwa hakitajwi ila huwa kinasemwa kijumla...shida.........mi nadhani sababu kubwa ya kuchelewa kuoa au kuolewa ni; matatizo mengi yanayoongelewa ktk ndoa. Wanandoa wengi pamoja na wazazi wamekua wakiwaambia vijana na watoto wao kuwa ndoa ni ngumu na ina shida na matatizo mengi. Hii imepelekea vijana wengi kuchelewa kuoa au kuolewa wakidai hawataki kuingia ktk shida mapema. Huo ndo mtazamo wangu.
Tatizo lenu mpaka mdanganywe......... We mimi nataka ngono ya leo au kesho...nikija straight kwamba nataka kwa muda tu.... sipati kitu unadhani nitakwambia nini wakati najuwa ukitajiwa kuolewa unaachia mzigo..?? Na lingine ni kuwa waowaji tukija straight bila chenga kukueleza kuwa nataka nikuowe huwa mnatuona wazugaji..............sasa tufanyeje..??kuoa ni wito wanaume wenyewe huo wito hawana
Siku hizi wanaume hupata mapenzi kirahisi sana kutoka kwa wanawake kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Hata ukiongea na mzee mwenzangu Bishanga atakubaliana na mimi.
Zamani enzi zetu makahaba walikuwa ni wachache sana na ilikuwa ni aibu sana kwa mwanaume kwenda kwa kahaba. Ni wale tu waliokata tamaa ndio ambao walikuwa wanakwenda kwa makahaba.
Enzi zetu sisi, mipaka na kanuni za jamii katika kushiriki mapenzi kabla ya ndoa zilikuwa ngumu sana. Mwanaume analazimika kuoa haraka kwa sababu kupata ridhiko nje ya ndoa ilikuwa ni shughuli pevu, na ndio maana wastani wa umri wa kuoa wakati huo ilikuwa ni kati ya miaka 23 mpaka 25, tofauti na siku hizi umri wa kijana kuoa umefikia miaka 30 mpaka 35. Mpaka hapo unaweza kuona ni kwa namna gani wanaume wanachelewa kuoa.
Leo hii inaonekana kama vile kila msichana ni kahaba. Hata wale watoto wanaoitwa, watoto wa geti kali, wanapatia mimba humo humo ndani ya mageti, sema tu kwamba, wengi huzichoropoa kiurahisi. Kufanya mapenzi ya utotoni hivi sasa ni kama sifa. Wataalamu wanasema kwamba, watoto wa kike wanaotoka kwenye familia zenye vurugu na tafrani hushiriki mapema tendo la ndoa.
Hebu tujiulize, je ni familia ngapi zina amani? Kwa hiyo watoto wa kike wengi huanza mapenzi utotoni na hivyo, vijana hupata asusa kwa kadiri wapendavyo, ni rahisi sana. Na ndio maana wanachelewa kuoa kwa sababu kile ambacho (kujamiiana) wanaamini ndio sababu ya wao kuoa wanakipata kwa urahisi.
Hapo kwenye BOLD ............. Watoto wa nje walikuwepo sana tuuuu na ndiyo maana ikatafutwa namna ya kuhalalishwa hali hiyo.......... KITANDA HAKIZAI HARAMU............. Tehe.tehe.teeeeeeeeeenzi zenu kulikuwa hakuna watoto nje ya ndoa?
Ni kweli maadili yameshuka, lakini umefikiria hali ya maisha ya sasa na ya zamani? Maisha magumu mwanaume hakurupuki kwenda kuoa hadi ajipange. Tofauti na 'enzi zenu' za riziki huletwa na Mungu.
Hizo enzi zenu wanaume walikuwa wanajiamini,wana uthubutu wa kupambana na maisha tofauti na wanaume wa enzi zetu hz vijana wa kiume wanataka kulelewa, mariooo. .
Enzi zenu heshima ya mwanamke inapimwa kwa ndoa. Enzi zetu heshema ya mwanamke/mwanaume inapimwa na tabia. Regardless ameoa/ameolewa au hajaoa/hajaolewa.
Hebu waacheni wanawake wapumue. Kha!
mamadogo,mm simo wananisingizia!!
hili neno mkuuTatizo lenu mpaka mdanganywe......... We mimi nataka ngono ya leo au kesho...nikija straight kwamba nataka kwa muda tu.... sipati kitu unadhani nitakwambia nini wakati najuwa ukitajiwa kuolewa unaachia mzigo..?? Na lingine ni kuwa waowaji tukija straight bila chenga kukueleza kuwa nataka nikuowe huwa mnatuona wazugaji..............sasa tufanyeje..??
pole shem wangu ashad.... Naona kimeumana
Ahsante Da AshaDii kwa angalizo, ushauri wako nimeupokea tena kwa mikono miwili..........................
hujambo Asha?
Wala usikonde,naandaa uzi ...title...'Mianaume ndivyo tulivyo'...stay tuned!
Mtambuzi nashukuru MUNGU kwa kuwa unaendelea vizuri umeweza hata
kuendelea na tungo zako zenye mlengo wa kike.
kwa watoto bana, hawa watoto wenu wa mageti makali ndo wanakuwaga vicheche sana huko mbele i.e. elimu ya juu, vyuoni,
kwa kuchelewa kuoa ni kutokana na watu kuogopa majukumu, si wamezoea kulelewa na wazazi,
la kutongoza wanaume nataka niwaulize
hawa binti zangu akina bebii, feisibuku, ashadi, kongosho na wengineo kibao
eti hii tabia ya kutongoza wanaume mmeipata wapi?
Mtambuzi siye hatuko hivyo, unatusingizia tu bure.
mamadogo,mm simo wananisingizia!!
Umepotea kiaina Shem, ingepita 2 more days ilikua nikutafte bana sio kawa... Yameumana bana Mtambuzi katushadadia mno.
Afadhali bana, naomba ujitahidi uwe unabalance kidogo pande zoote...
B' Mie mzima wa afya kabisa... Lete hio topic bana, tuwaponde roho zetu zifurahi....lol... (hata kama twawahitaji...
Auntie mie sina tabia ya kutongoza kabisa... ila tu ninatabia nikimpenda nahakikisha kanifaham, asipovutiwa namimi enough kunitongoza nachapa Lapa! lol (hio ilikua siku nyiiiingi kabla sijaolewa by the way )
hahhahaaa FB kumbe we mwoga wa kuchapwa? mandenyi,embu kachape haka katoto!
heri mimi sijatajwa loh
Auntie mie sina tabia ya kutongoza kabisa... ila tu ninatabia nikimpenda nahakikisha kanifaham, asipovutiwa namimi enough kunitongoza nachapa Lapa! lol (hio ilikua siku nyiiiingi kabla sijaolewa by the way )