Kumbe ndio maana hamuolewi!!!

Kumbe ndio maana hamuolewi!!!

Kumbe huku kuna mahusiano kibao,
The Finest na Husninyo
ni kama wanafahamiana fulani ati.
 
Mtambuzi give us a Break walau a month.... We deserve it and bring something on the men! Maana kwa kweli umeegemea upande mmoja...

Hajui kama wewe ni among best mother on this planet.
 
Mmmh! sawa mabinti hawaolewi kwa sababu nadhani maisha magumu ya vijana wengi wanaogopa kubeba majukumu(direct responsibility).
 
Back
Top Bottom