Kumbe ndio maana Ukraine waliwaachia Warusi waingie, ili wajichukulie silaha

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwenye hili, Ukraine walifanya babkubwa yaani, waliwaacha Warusi waingie na silaha zao ndani kwa ndani, na Warusi walivyo wajinga wakaingiza silaha zao Ukraine kichwa kichwa, ghafla Ukraine wakatiririka kwa mshtuko wa ajabu, Warusi wakakimbia na kuacha silaha zao, Ukraine wamejichukulia zana za kila aina....

As Russian forces surrendered more than 2,300 square miles to advancing Ukrainian troops in a little over a week-more ground than Russia has taken in the last five months of fighting-some troops running for their lives left vast stashes of Soviet-era weaponry, which the defending Ukrainians can now operate, including at least 17 vehicles on Monday alone.

Open-source tracker Oryx found that the captured Russian equipment varied from BMP-2 amphibious infantry fighting vehicles to scores of tanks, including T-80 variant tanks that date back to the 1980s, which experts pegged at about half of the combat-ready inventory. With poorly trained Russian units, some cobbled together from Russia's national guard and police forces, falling away from the front lines, Ukrainian forces stumbled upon an embarrassment of riches on the battlefield.

"They just left their tanks, artillery, special equipment, a lot of armor, and were just trying to save their lives," a Ukrainian military official told Foreign Policy, speaking on condition of anonymity to provide an update on ongoing military operations. "They will be used against Russia."
 
Kwa sasa, mimi nafikiri mioyo ya vibopa vya Russia na askar wake wameshaanza kuamini kuwa hii OP yao haina matunda yoyote yale, ila sasa kuamua kustopisha ndo kipengele kilipo.

Nafikiri watazame kwa jicho la ndani, heri wastopishe ili wao na vizazi vyao vije viishi vyema pasipo kunyooshewa vidole. Hawa askari wanaokufa huko, wana familia na ndugu, wanavyozidi kuangamia, ndiko chuki na hasira zitakuwa ni idadi kubwa dhidi ya utawala wao.

Huko mbeleni hawa washaur wa Putin, watenda kazi wake na kila anayehusika ktk hii vita watahesabiwa lawama kwa kosa la kusababisha watu wamepoteza uhai kwa jambo lililoweza kuepukika, na hii itakuwa mbaya mno sababu wao watoto wao hawapo ktk hii op.
 
Nadhani assessments zote wameshafanya ila kusitisha kutamaanisha kwamba umemsogeza mmarekani na washirika karibu yako zaidi hata kabla ya operation. Wapo tayari kufanya hivyo? Ngoja tuone
 
Mazungumzo yalishindikana,Zele akaweka ngumu akakubali kuingia mkenge wa west!
Acha vita viendelee tuone mwisho wake,ila Urusi alishaapa kwamba lazima malengo yake yatimie Ukraine!Na mrusi akiapa jambo ni vigumu kula matapishi!
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    25.9 KB · Views: 4
Mazungumzo yalishindikana,Zele akaweka ngumu akakubali kuingia mkenge wa west!
Acha vita viendelee tuone mwisho wake,ila Urusi alishaapa kwamba lazima malengo yake yatimie Ukraine!Na mrusi akiapa jambo ni vigumu kula matapishi!
Mambo yakiwa magúmu matapishi huanza kuliwa. Yale hayakuwa mazungumzo,ulikuwa u dictator. Mrusi alikuwa analzimisha Ukraine isaini makubaliana yanayoitaka iachie aridhi yote Dobas na Cremea. West wakamwambia Zele aachane na huo ujinga,Russia anapaswa kuondoka Ukraine bila masharti.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mrusi anafundisha wafungwa wawe mstari wa mbele eti wakipona vita ndani ya miezi sita watakua huru na wanafundishwa "No Retreat"ameamua kuwaua wafungwa bure kwa kumtumia rafiki yake ambae anawashawishi wafungwa kwa kujifanya ni Private Army agent..Putin kaanzisha vita kijinga ambayo ingeweza kuepukika..
 
Nadhani assessments zote wameshafanya ila kusitisha kutamaanisha kwamba umemsogeza mmarekani na washirika karibu yako zaidi hata kabla ya operation. Wapo tayari kufanya hivyo? Ngoja tuone
Nabaki kucheka tu kila nikikumbuka vitisho vya Putin kuwa atatumia nukes kwa atakayemsaidia Ukraine.
Back on topic; Hilo la kumkaribisha Marekani karibu hawataliafiki, sana sana kupunguza hasara inayoendelea kuipata Urusi wataomba wakae meza moja na Ukraine ili wakubaliane kumaliza tofauti zao with conditions.
 
Mambo yakiwa magúmu matapishi huanza kuliwa. Yale hayakuwa mazungumzo,ulikuwa u dictator. Mrusi alikuwa analzimisha Ukraine isaini makubaliana yanayoitaka iachie aridhi yote Dobas na Cremea. West wakamwambia Zele aachane na huo ujinga,Russia anapaswa kuondoka Ukraine bila masharti.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Putin anasema,west wako tayari vita iendelee na damu imwagike to the last Ukrainian,basi na iwe hivyo!
 
Kwenye hili, Ukraine walifanya babkubwa yaani, waliwaacha Warusi waingie na silaha zao ndani kwa ndani, na Warusi walivyo wajinga wakaingiza silaha zao Ukraine kichwa kichwa, ghafla Ukraine wakatiririka kwa mshtuko wa ajabu, Warusi wakakimbia na kuacha silaha zao, Ukraine wamejichukulia zana za kila aina....

As Russian forces surrendered more than 2,300 square miles to advancing Ukrainian troops in a little over a week-more ground than Russia has taken in the last five months of fighting-some troops running for their lives left vast stashes of Soviet-era weaponry, which the defending Ukrainians can now operate, including at least 17 vehicles on Monday alone.

Open-source tracker Oryx found that the captured Russian equipment varied from BMP-2 amphibious infantry fighting vehicles to scores of tanks, including T-80 variant tanks that date back to the 1980s, which experts pegged at about half of the combat-ready inventory. With poorly trained Russian units, some cobbled together from Russia's national guard and police forces, falling away from the front lines, Ukrainian forces stumbled upon an embarrassment of riches on the battlefield.

"They just left their tanks, artillery, special equipment, a lot of armor, and were just trying to save their lives," a Ukrainian military official told Foreign Policy, speaking on condition of anonymity to provide an update on ongoing military operations. "They will be used against Russia."
Wamejiokotea mzigo wa kutosha
 
Huyo jamaa anaipenda sana na kuirudia rudia hiyo point kibogoyo ya Zelenskyy hataki mazungumzo.
Mambo yakiwa magúmu matapishi huanza kuliwa. Yale hayakuwa mazungumzo,ulikuwa u dictator. Mrusi alikuwa analzimisha Ukraine isaini makubaliana yanayoitaka iachie aridhi yote Dobas na Cremea. West wakamwambia Zele aachane na huo ujinga,Russia anapaswa kuondoka Ukraine bila masharti.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Nabaki kucheka tu kila nikikumbuka vitisho vya Putin kuwa atatumia nukes kwa atakayemsaidia Ukraine.
Back on topic; Hilo la kumkaribisha Marekani karibu hawataliafiki, sana sana kupunguza hasara inayoendelea kuipata Urusi wataomba wakae meza moja na Ukraine ili wakubaliane kumaliza tofauti zao with conditions.
Kila kitu kilishashindikana kilichobaki ni kumwaga damu, hakuna jinsi, mpaka Russia afilisike tuuu. Na kitakachotokea ni Russia kupata Vita vya ndani kwa ndani. Na kugawanyika vinchi kama 1991
 
Na hiki ndicho hasa Marekani anachokitaka ili kuipunguza nguvu BRICS na kujitwalia vistate vitakavyokuwa tayari kujiunga na NATO
 
Mazungumzo yalishindikana,Zele akaweka ngumu akakubali kuingia mkenge wa west!
Acha vita viendelee tuone mwisho wake,ila Urusi alishaapa kwamba lazima malengo yake yatimie Ukraine!Na mrusi akiapa jambo ni vigumu kula matapishi!
Mbona Finland and Sweden wameomba kujiunga nato rasmi huyo Putin hajawavamia?
Putin mwenyewe hajui kwa nin yupo Ukraine
 
Huko Ukraine ana Sababu zaidi ya 3!Hao wengine amewaweka kiporo,unataka apigane vita ngapi?
Kinachokuja kufuata baada ya hii conflict ni Russia kuweka Nukes jirani kabisa na Finland na Sweden Ili kuwapa funzo,na funzo lenyewe ni kwamba ikitokea conflict yoyote kati ya NATO na Russia basi hizo nchi ndio zitakuwa za kwanza kupigwa na kitu kizito Ili ardhi Yao isitumike kama base ya mashambulizi dhidi ya Russia!
Yaani ni kama Fin na Swed watakuwa wameweka bunduki mdomoni mwao!
 
Huko Ukraine ana Sababu zaidi ya 3!Hao wengine amewaweka kiporo,unataka apigane vita ngapi?
Kinachokuja kufuata baada ya h
Tupo ndugu tuone huyo Super Power aliyeshindwa kutawala anga la Ukraine, super power targeting mabwawa ya kuhifadhi maji
Super power analipiga vituo vya umeme.

Mara mifumo ya air defense ya kirusi S300 S400 SXYZ , USA hutomsikia akisifia mifumo au silaha yake ila huko kwenye field/practical ndio mtashaa.

Nikuulize unajua HIMARS has over 30 years?
 
Afadhali huyu Russia,Vita ya US Huwa anaenda anafanya mashambulizi ya anga kila mahali,halafu jeshi la ardhi linapita kufanya usafi tu kumaliza waliosalimika!
Fikiri day 1,Mrusi angeingia Kwa kushambulia Kwa anga Miji yote ya Ukraine na kujaribu kila kitu ndipo akaingia jeshi la ardhi ingekuwaje?
Halafu huyo US hajiamini,vitani anaenda na mataifa 30?US Yuko mbali huko ila ameunda umoja na mataifa 30 ya kujihami kijeshi!Super power gani huyo muoga hivyo?Tena US hajakutana na vita ya maana katika zama hizi za TEC iliyokuwa!
Kama jiografia ikibadilika ghafla na Russia ikanyofoka na kuwa huko America ya kusini jirani na akina Brazili basi nakuhakikishia US atatengeneza NATO ya kuelekea America kusini na kuwaalika akina Argentina,Chile NK!🤣🤣
 
Mazungumzo yalishindikana,Zele akaweka ngumu akakubali kuingia mkenge wa west!
Acha vita viendelee tuone mwisho wake,ila Urusi alishaapa kwamba lazima malengo yake yatimie Ukraine!Na mrusi akiapa jambo ni vigumu kula matapishi!
Kwenye vita, sio tu eti useme malengo lazima yatimie kuna mambo mengi yanaweza kukulazimisha uache tu bila hayo malengo kutimia, hadi kufikia sasa Urusi hawezi tena kutimiza malengo yake aliyokusudia, na asipoangalia hata ile CRIMEA, anaenda kuipoteza.NATO, kuna mahala imekula matapishi yake sembuse URUSI??
 
Back
Top Bottom