Duh...wakenya kweli ni janga la dunia...mtu unatumia maneno hovyo kabisa halafu unajifanya mwerevu na mjanja...kung'amua Kiswahili??!?!?!?!Tumia kamusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...wakenya kweli ni janga la dunia...mtu unatumia maneno hovyo kabisa halafu unajifanya mwerevu na mjanja...kung'amua Kiswahili??!?!?!?!Tumia kamusi
Hahaha. Wacha uchokozi wewe.Pimaa pimaa pimaaa weee
Aha ha haa haaa
😛 😛 😛
Wewe zumbukuku kama hujui maana ya neno hilo basi tafuta kamusi, sio kupigapiga kelele kama mbuzi inayotaka kuzaa. Ama wacha nikusaidie. Soma hapo chini, utafahamu maana ya neno kung'amua. Angalau leo Mkenya anakufunza Kiswahili.Duh...wakenya kweli ni janga la dunia...mtu unatumia maneno hovyo kabisa halafu unajifanya mwerevu na mjanja...kung'amua Kiswahili??!?!?!?!
Unajua kizungu vizuri bro?[emoji2369][emoji2369][emoji2369]Hakuna neno kama rediculate katika kiingereza. Pengine ulimaanisha ridicule? Jikite kwenye kiswahili ambacho angalau unaking'amua kidogo.
Link imegoma kufungua. Weka link nyingineUnajua kizungu vizuri bro?[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Kwanini usianze Kwanza kumwambia maneno hayo baba na mama yako mzazi kuwa ni Kama mbuzi amezaaa?!...ukishawaambia hivyo uje utuarifu humu jf majibu yao..Wewe zumbukuku kama hujui maana ya neno hilo basi tafuta kamusi, sio kupigapiga kelele kama mbuzi inayotaka kuzaa. Ama wacha nikusaidie. Soma hapo chini, utafahamu maana ya neno kung'amua. Angalau leo Mkenya anakufunza Kiswahili.
Swahili-english dictionary
ngamua
ngamua: translation
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] disclose (a secret )
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] discover
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] find out
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] get to know
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] learn about
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] realize
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] unravel
[Part of Speech] verb
Wewe umesoma kamusi niliyokuwekea? Kamusi hiyo pia imeandikwa kwa kiingereza ikiwa hiyo ndio lugha unayofahamu.Kwanini usianze Kwanza kumwambia maneno hayo baba na mama yako mzazi kuwa ni Kama mbuzi amezaaa?!...ukishawaambia hivyo uje utuarifu humu jf majibu yao..
Na uwaambie pia "ng'amua Kiswahili'..kwa akili yao maana ya maneno kwenye kamusi unaweza kuyatumia utakavyo...duh...ng'amua Kiswahili'..
Wewe umesoma kamusi niliyokuwekea? Kamusi hiyo pia imeandikwa kwa kiingereza ikiwa hiyo ndio lugha unayofahamu.
[/QUOTE
Naona Sasa umeamua kutumia lugha nzuri kwenye mjadala...Hilo ni Jambo zuri na la heshima kwako...lakini usisahau kuwauliza wazazi wako kuhusu ushauri wangu ule kuhusu maneno Yale uliyokuwa umeyaweka humu awali....Sina haja ya kuangalia kamusi...Kiswahili ndiyo lugha ya taifa hili zuri la Tanzania...the blessed nation...Kiswahili tunakua nacho...we breath in it...huwezi kumsikia Mtanzania anasema 'ameng'amua Kiswahili'...yaani hata yule ambaye haujui mlango wa darasa hawezi kusema hivyo...yaani hata yule ambaye hajasoma hawezi kusema hivyo...huwezi mtu ukachukua maana ya maneno kwenye kamusi na kuyatumia utakavyo...
sasa mwenye faida ni nani na mwenye hasara ni nani. kuwa mjanja sometimes acha kulalia masikioBinafsi nimegundua. Kenya wamefanya ivyo ili wawashinijize wazungu watoe mpunga wa covid 19
😆😆😆 Dah nimecheka maana nimeangalia nikichoandika awali sijaona kama ilikuwa na ukakasisasa mwenye faida ni nani na mwenye hasara ni nani. kuwa mjanja sometimes acha kulalia masikio