Kumbe ndio maana Watanzania wamelialia sana, kwa hili la corona na mindege ya KQ Wakenya hatujawa "fair"

Duh...wakenya kweli ni janga la dunia...mtu unatumia maneno hovyo kabisa halafu unajifanya mwerevu na mjanja...kung'amua Kiswahili??!?!?!?!
Wewe zumbukuku kama hujui maana ya neno hilo basi tafuta kamusi, sio kupigapiga kelele kama mbuzi inayotaka kuzaa. Ama wacha nikusaidie. Soma hapo chini, utafahamu maana ya neno kung'amua. Angalau leo Mkenya anakufunza Kiswahili.

Swahili-english dictionary

ngamua
ngamua: translation

------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] disclose (a secret )
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] discover
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] find out
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] get to know
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] learn about
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] realize
[Part of Speech] verb
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -ng'amua
[English Word] unravel
[Part of Speech] verb
 
Hakuna neno kama rediculate katika kiingereza. Pengine ulimaanisha ridicule? Jikite kwenye kiswahili ambacho angalau unaking'amua kidogo.
Unajua kizungu vizuri bro?[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Kwanini usianze Kwanza kumwambia maneno hayo baba na mama yako mzazi kuwa ni Kama mbuzi amezaaa?!...ukishawaambia hivyo uje utuarifu humu jf majibu yao..
Na uwaambie pia "ng'amua Kiswahili'..kwa akili yao maana ya maneno kwenye kamusi unaweza kuyatumia utakavyo...duh...ng'amua Kiswahili'..
 
Wewe umesoma kamusi niliyokuwekea? Kamusi hiyo pia imeandikwa kwa kiingereza ikiwa hiyo ndio lugha unayofahamu.
 
Binafsi nimegundua. Kenya wamefanya ivyo ili wawashinijize wazungu watoe mpunga wa covid 19
sasa mwenye faida ni nani na mwenye hasara ni nani. kuwa mjanja sometimes acha kulalia masikio
 
sasa mwenye faida ni nani na mwenye hasara ni nani. kuwa mjanja sometimes acha kulalia masikio
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Dah nimecheka maana nimeangalia nikichoandika awali sijaona kama ilikuwa na ukakasi

Ila anyways sijui ww ulifikiria vipi mkuu. OVER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…