Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
sasa hao jinsi walivyo wanaweza wakafanya attack/ambush gani ya ghafla jinsi walivyo bila kutumia siraha either zakibailojia, nyuklia au hizo wanazokula nazo good time.Vita si ni mashine au?
Kama ilivyo kwa Rwanda.Mgeni huwezi oa?
πππWanakufanyaje mpaka watoto wawe wao?
Ukiwa mzembe wanaweza kuja wazee wa kazi na wakaichukua kama yao vileHyo machine nikiipata mimi na nikajua kuitumia, kwangu siweki cha geti wala fensi, napanda maua tu na matunda, nakula upepo wa Mungu alafu kila jioni naisafisha nje dadeki....hehehheeeee
Kuna wale walitekwa na HAMAS siku wanaachiliwa huru walikuwa wanawaaga kwa furaha sana Makamanda wa HAMAS.Raia wote wa Israel hupitia mafunzo ya kijeshi wakifika umri fulani