Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

Jeshini inayotumika ni akili ya kupambana na adui sio mbavu nene vinginevyo Mabaunsa wangelikuwa wanajeshi.
 
Vita si ni mashine au?
sasa hao jinsi walivyo wanaweza wakafanya attack/ambush gani ya ghafla jinsi walivyo bila kutumia siraha either zakibailojia, nyuklia au hizo wanazokula nazo good time.

Jeshi sio watu pekee.
 
Umewazoea wanajeshi wa Tanzania wengi wakurya wanatisha tisha tu ukajua ni wote?
 
Hyo machine nikiipata mimi na nikajua kuitumia, kwangu siweki cha geti wala fensi, napanda maua tu na matunda, nakula upepo wa Mungu alafu kila jioni naisafisha nje dadeki....hehehheeeee
 
Hyo machine nikiipata mimi na nikajua kuitumia, kwangu siweki cha geti wala fensi, napanda maua tu na matunda, nakula upepo wa Mungu alafu kila jioni naisafisha nje dadeki....hehehheeeee
Ukiwa mzembe wanaweza kuja wazee wa kazi na wakaichukua kama yao vile
 
Afadhali vita imeisha,amani itawale sasa
 
Back
Top Bottom