Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh. Sawa Mkuu.Wapo wa Jkt na wapo wa moja kwamoja,ila wapenda picha si unajua umri wao
Ila alieniroga kupenda magwanda ya jeshi aliniweza sana
Eeeh hizoUnazungumzia combat zile bakabaka?
Nilitishwa nikaogopaHujawai omba kuingia huko mkuu?
Zinapatikana wewe tuEeeh hizo
Acha nizisake..Zinapatikana wewe tu
Si unilavu tu mimi sasa 🙈🙈🙈Ila alieniroga kupenda magwanda ya jeshi aliniweza sana
Kama mjeda ntakulove kweli oohSi unilavu tu mimi sasa [emoji85][emoji85][emoji85]