Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

Naona mixer ya mwarab na mzungu,kwenye sura zao,wapo between
 
Daah! Hatimaye nimefika mwisho wa picha. [emoji3]

Ila Mleta uzi mbona age ni moja tu au ndio kama Jkt hiyo?
Wapo wa Jkt na wapo wa moja kwamoja,ila wapenda picha si unajua umri wao
 
duuh!! Hawa wanajeshi mbona wananitamanisha niende kuwa gaidi huko Israel,πŸ™‹πŸ™‹πŸ™‹πŸ™‹πŸ™‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…